Nitawezaje kuwa karibu na familia yangu kwa hali hii?

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,027
1,299
Ntawezaje kupata kazi yenye
kudumisha utu wangu,
kuwatunza wazazi wangu, na
kuwasaidia ndg zangu wakati
sikubahati hata kumaliza elimu
yangu ya sekondari? Sina kazi
natafuta kazi help me plz kama
kuna mtu anaweza kuniwezesha
tuwasiliane kupitia simu namba
0685234854 tuma sms. Ahsante
 
tafuta biashara ufanye,mtaji sijui utatoa wapi...life gumu dah,hata mie sikumaliza form six lol
 
tatizo ndo hilo mtaji! Ila kama ningeweza kupata kama laki 3 hivi mambo yangeweza kubadilika.
 
Uko wapi? Hebu ni-inbox plani yako ya biashara unayofikiria na jinsi ambavyo laki 3 itazunguka na kuleta faida nione inakuwaje. Wahi kabla ya pasaka, ndo sadaka hii.

nimeshakuinbox ndg. Ahsante kama utakubaliana nayo.
 
Uko wapi? Hebu ni-inbox plani yako ya biashara unayofikiria na jinsi ambavyo laki 3 itazunguka na kuleta faida nione inakuwaje. Wahi kabla ya pasaka, ndo sadaka hii.

May almight GOD bless you and make you reap more than you have sown.......sometimes I real wish this could be a tangible society.

Nuch love to you mumy.................be blessed
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom