Nitawezaje kupata mbao hizi?

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,914
Kuna rafiki yangu huku Arusha anahitaji mbao za kujengea shule so mwenye namba za watu wanao uza mbao huko Iringa anisaidie pls
1. 3 by 2 mbao 400
2. 4 by 2 mbao 250
3. 6 by 2 mbao 100
4. 8 by 1 mbao 50
5. 10 by 1 mbao 20
 
Mimi nipo Makambako njombe na ndiyo shughuli yangu kuuza mbao na mazao, je utakuja mwenyewe au nazileta huko? Sema offer yako. Zote ulizotaja ninazo. Nipe namba yako ktk pm.
 
Kuna rafiki yangu huku Arusha anahitaji mbao za kujengea shule so mwenye namba za watu wanao uza mbao huko Iringa anisaidie pls
1. 3 by 2 mbao 400
2. 4 by 2 mbao 250
3. 6 by 2 mbao 100
4. 8 by 1 mbao 50
5. 10 by 1 mbao 20

Ungeweka na urefu ingekuwa poa, yaani 3 x 2 x12 au 4 x 2 x 12, unaweza ukawa unahitaji mbao za urefu wa ft 18 mpaka 20 na wadau wakaleta za ft 12 mkaishia kugombana.
 
mkuu ninavyojua jamaa anahitaji treated timber,ndio maana akasema Iringa,angehitaji mninga asingesema Iringa manake Iringa hata kisiki cha mninga huwez kukiona!wenye bness changamkieni opportunity
 
Hizo mbao zinapatikana sana tu, wakati wowote saohill Industries-well treated.sema utazihitaji lini tuwasiliane mkuu.
 
Ya wakuu anahitaji za iringa(Mbao laini) na anataka zipelekwe hadi Hanang Manyara ndo anako jenga, Ila mimi sitaki kuwa third party so nitmpatia namba zenu theni mtafanya nae mazungumzo ya moja kwa moja,
 
Ni PM nakuletea hadi chumbani,weka urefu 12,16,18 rafiki yangu ana truck 124 na trailer lake gharama zangu ni kuweka wese tu,ni PM tufanye biznes weka na offer yako nione kama na me nitapata hela kidogo ya muda
 
Kwa idadi ya mbao anazotaka,Fuso moja linatosha kamzigo kote kwa trip moja.
 
watanzania walivyopigika na maisha hapa kila mtu atajifanya mjasiria mali.

nimwmwona hata jamaa yangu yupo ofisini lakini anajifanya ndo kazi yake.
 
Wakuu ni liwapa namba za mhitaji mbao mbao but hakuna aliye comnicate nae why? eneway namba zake ni hizi 0783181841
 
Back
Top Bottom