Nitawezaje kununua Android apps ?

lyahanze

Member
Apr 6, 2012
43
4
Nataka ninunue apps ya AITV..kila nikijaribu kufuata maelekezo mwishoni naandikiwa invalid card number namba za kadi ni sahihi za crdb visa card.msaada kwa watalamu wa ununuzi wa hizi apps za android za google.
 
Ninaassume umeshairegister card CRDB ili wakuwezeshe kufanya online purchases. If so, labda ni tatizo la network tu.
 
namba za kadi ni zile ambazo zipo mbele ya card yako na sio account number, pia unatakiwa kuifingua visa/master card yako bank
 
Back
Top Bottom