Nitawezaje kufanya biashara bila mke kujua?

Huwezi kufanya biashara ya namna hiyo bila mke kujua. Kuna leo na kesho, Leo upo kesho yako haijulikani. Mkalishe chini umuelekeze hasara ya anachokifanya. Kwamba yeye akipata huduma mbovu dukani huwa anarudi tens duka lile?

Tena mwambie tabia yake ya mdomo sio tu inakimbiza wateja. Hata wewe utakimbia uende kwenye customer care murua.
Tatizo ni wewe. Hujasimama kama baba badala ufanye marekebisho unawaza kufungua biashara kwa siri
 
Wakuu nimeanzisha biashara ya Duka rejareja na Saloon ya kiume. Changamoto iliyopo ni kelele za mke wangu. Pindi akijua na ku-access zilipo. Makelele Yake yatapeperusha wateja wote. Maana mwanzoni nilishawahi kumuanzishia biashara ya Duka la nguo na mini-super market vyote vikafa baada ya muda mfupi. Yeye Ni mtu wa kutokujali wateja (kufokea) na kuamini tu kwamba Mungu ataleta wateja kwa Maombi. Huko nyumbani naishi nae kwa machale maana yeye Ni mtu wa makelele tu. Sex ya manati, na huwa siinjoy, ila tunaenda kinafiki tu Hafikirii Kuna savings kwa ajili ya future (yeye Ni mtu wa kununua luxurious stuffs tu). Kila ukijitahid ku-save,. Tujenge yeye Hana habari, excuse kibao. Ooh yeye anadai ndio anategemewa kwao na siwezi kumtenganisha na ndugu zake.
Mke Ni KICHOMI
Huyo mke Lazima atakua kibinti Cha kichaga tu ndo wenye tabia za ajabu ajabu. Hawawazi kesho Bali mashindano ndani ya ndoa.
 
Nimeshawaza Mara kadhaa. Kikao Cha wazazi kilikaa bado akasisitiza yeye hasikilizwi maamuzi ya kufanya biashara naamua mm mwenyewe.. nilijaribu kueleza namna nilivyomfungulia biashara na zilipoishia (kufa) but bado akasisitiza source Ni mm. Hakika ndoa hii Ni Majanga. Najuta kuoa huyu mtu.
Umeshafikiria swala la kuachana na huyo mke??
 
Nimeshawaza Mara kadhaa. Kikao Cha wazazi kilikaa bado akasisitiza yeye hasikilizwi maamuzi ya kufanya biashara naamua mm mwenyewe.. nilijaribu kueleza namna nilivyomfungulia biashara na zilipoishia (kufa) but bado akasisitiza source Ni mm. Hakika ndoa hii Ni Majanga. Najuta kuoa huyu mtu.
Wewe dini gani?
 
Huwezi kufanya biashara ya namna hiyo bila mke kujua. Kuna leo na kesho, Leo upo kesho yako haijulikani. Mkalishe chini umuelekeze hasara ya anachokifanya. Kwamba yeye akipata huduma mbovu dukani huwa anarudi tens duka lile?

Tena mwambie tabia yake ya mdomo sio tu inakimbiza wateja. Hata wewe utakimbia uende kwenye customer care murua.
Tatizo ni wewe. Hujasimama kama baba badala ufanye marekebisho unawaza kufungua biashara kwa siri

Huo muda wa kufunza mtu mzima huwa mnaupata wapi?
 
kiufupi huyu mkeo ni kichomi kama ulivyosema ila chagua mwenyewe kusuka au kunyoa. nilishawahi kuwa na mke kama huyo nikaja kuachana nae na alilia sana waga wanakuwa hivyo . cha msingi ni kuachana nae tena talaka zote 3. utakuja kunishukuru .
 
Mchaga gani asiyewaza kesho!!
Kiukweli hata mm nashangaa. Mwanzoni enzi za uchumba alikua fighter tumeanza maisha ya chini mno. Baadae nikajiendeleza kielimu nikapata kazi kwenye NGO fulani inahusika na Public Health mshahara ukawa afadhali angalau naweza ku-save hata nikanunua Gari bila mkopo pia nimeanzisha biashara ndogo ndogo (Duka na saloon). Sasa nawaza Kujenga. Ila nadhani itabd iende kimya kimya.
 
Back
Top Bottom