Nitawezaje kublock number ya simu sumbufu?

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Dear friends

Having some trouble from an old friend, who keeps calling me with abusive phone calls, midnight calls, beeping etc. I am using an iPhone, how can I stop her phone calls from reaching me? like a block list? is there any codes! Msaada tafadhali

Mch Masa K
 
wanasemaga kuna kuweka call barring lakini ngoja tuone wengine watasemaje....nina same problem na imenigharimu kuifunga kabisa hiyo line
 
wanasemaga kuna kuweka call barring lakini ngoja tuone wengine watasemaje....nina same problem na imenigharimu kuifunga kabisa hiyo line

Nimetafuta option zote nimeshindwa! Nateseka sana na hili simu saa tisa usiku, nikiwa kazini, mikutanoni, ili mradi simu imepigwa najuta kumjua. Siwezi funga hii line maana wadau wote wanajua hii namba!
 
pole sana....mimi nilijaribu kwenda mpaka zain kujua kama wanaweza kublock lakini na wao ni bure kabisa....labda kampuni zingine za simu zina hizo huduma za kublock....ki ukweli inakera sana

pole sana....mimi nilijaribu kwenda mpaka zain kujua kama wanaweza kublock lakini na wao ni bure kabisa....labda kampuni zingine za simu zina hizo huduma za kublock....ki ukweli inakera sana

Hebu nionee huruma leo nimepigiwa mara 29! Sijui hadi asubuhi itakuwa mara ngapi nimekoma.
 
Nijuavyo mimi hakuna jinsi ya kumzuia mtu asikupigie simu. Hata hata kama ukiiblock hiyo namba, huyo mtu anaweza kukupigia kupitia simu nyingine na kufanya zoezi zima la kublock kuwa meaningless. Cha muhimu ni kupuuza tu simu zake hadi achoke mwenyewe. Option nyingine ni kubadili tu namba yako ya simu.
 
duh kweli hiyo kero.....amevumbua nini kwako....mbona spidi namna hiyo

Heri angekuwa amevumbua kitu! Hataki kubaliana na ukweli nikipokea hakuna cha maana ni malalamishi na mwishowe matusi. Kero kero ameisha piga mara mbili tokea niweke hii post
 
Nijuavyo mimi hakuna jinsi ya kumzuia mtu asikupigie simu. Hata hata kama ukiiblock hiyo namba, huyo mtu anaweza kukupigia kupitia simu nyingine na kufanya zoezi zima la kublock kuwa meaningless. Cha muhimu ni kupuuza tu simu zake hadi achoke mwenyewe. Option nyingine ni kubadili tu namba yako ya simu.

Mkuu kubadili namba mimi kwangu si option. Nimejitahidi kumwambia bwana eeeehh haya mambo hayaendi hebu tupeane nafasi. Limekuwa kosa. Anapiga simu day and nite na hakuna cha maana ninaacha kupokea hadi napata huruma sasa anachoongea nimauza uza. Inakera kweli kweli
 
Nimepewa hii code * # 33 and # bahati mbaya haifanyi kazi na iPhone.
 
mchungaji uliongeza ufundi nini? lol hapo hakuna njia mkuu alichosema NN ukiweza kitakufaa zipotezee tu
 
Nasikia zile simu original za samsung line 2 za mkorea unaweza kublock mpaka msg, lakini sina uhakika sana sijawahi itumia labda jaribu kuulizia wenye nazo watakufahamisha, kisha utaweka line yako humo km itafanikiwa.
 
jaribu kuweka kwenye simu ya samsung nendo kwenye option ya calls afu iweke hiyo number katika block list hakupati tena huyo msumbufu kaka!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom