janeth cute
Member
- Nov 22, 2014
- 12
- 1
Msaada jamani.
Inawezekana Kuattach document jamii forum?
Kama Inawezekana naombeni msaada wenu !
Inawezekana Kuattach document jamii forum?
Kama Inawezekana naombeni msaada wenu !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msaada jamani.... Inawezekana Kuattach document jamii forum?.... kama Inawezekana naombeni msaada wenu!!!!!!
Hiyo itatusaidia wengi humu maana sisi wengine hata namna ya kutoa link ya habari fulani tunapigwa chenga.M/Mpamba
Hapo Ukiwa kwenye jf au Ukiwa kwenye ms word? @ mwl Rct
Ok thanks.....nimepaona Ticha ila simu haiwezi fanya hiyo kitu?
Ok thanks.....nimepaona Ticha ila simu haiwezi fanya hiyo kitu?
Ok thanks.....nimepaona Ticha ila simu haiwezi fanya hiyo kitu?
1) Click "Go Advanced"
2) Click "Manage Attachment"
3) Click "Browse" >> Select file >> Click "Upload" ,after upload, Click "Close window" Done, Post your comment/attached file