Nitaweza kujenga nyumba kwa Milioni tatu?

Boss nichek tu apo PM unipe maujuzi, Mimi ela cna ya kufanyiwa Architectural project jaman, au mwaga vitu apa jukwaan, au if ni DM nionyeshe bas ndugu yako kamjengo rahis ka ile pesa yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikufanti artechtural wala sio ishu za pesa ishu tunacheza tu na unachokitaka mpaka tunapata design ya nyumba na structura yake wakat wa ujenzi afu una anza ujenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Noma!!!

Hiyo scene ya kupauwa usiombee,inaweza kukutoa mvi kama hukutulia,ujenzi ni gharama sana ila bora huyu analo hilo wazo la kujenga kuna mwengine hadi muda huu wala hajui kama kuna siku itamhitaji awe na nyumba yake yeye mwenyewe.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Mkuu nkipaua slope itanisotesha??? Nijuze bas

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ata iyo nataka, napak kigar apo nje nan kunidai kodi???

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ushindwe wewe tu mdau.
images(8).jpeg
98312402.jpeg
images(9).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa pesa uliyosema unayo mkuu nakushauri chagua flat roof hii gharama zake siyo kubwa sana.pitched roof inazingua sana kwenye gharama yaani siyo ajabu kupigiwa simu na fundi kuambiwa ongeza vifaa ambavyo havikuwa kwenye hisabu zako.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Kabisa mkuu flat roofing ndo sawa kwa low cost budget

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha futi kumi kwenye msingi ni tofali 28×4=112
Kozi nne za mwanzo tofali 112 pia.
Kozi 6 za juu wastani 20× 6= 120

TOfali juu lenta 28 ×3= 84
Cable na kuziba juu 72 hivi.
Wastani wa tofali 500 chumba chukuchuku.master ya kawaida tu inaweza kufika hizo 600, kwahiyo yuko sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Izo tofal ni block

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom