Nitawamiss sana wana JF.

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,596
5,787
Nipo chini ya uangaliz maalumu nisiingie kusoma makala ya JF hasa ktk jukwaa la siasa. Kila ninapozisoma napata uchungu mpaka nazimia.
Hii ni kutokana na uchungu nilionao. Pia kutokana na madudu ya serikal ya Kikwete.
Uangalizi utasitishwa pale mauzauza ndan ya nchi hii yatakapokoma.
Nawatakieni kila la kheri.

Mkuu! Naungana nawe na bila shaka 2taonana mtaani 2kitafuta sukari madukani. 2siingie tena humu.

nimepewa daktar maalum wa kunichunguza. Nimeshauriwa nitembelee jukwaa la mahusiano na mapenz. Tutakutana mtaani tukitafuta mishumaa kunusuru hili giza.

Bora uwe unaingia mara moja moja kwani tuna mkakati wa maandamano yakuing'oa serikali hii legelege ili ushiki kwani unaelekea unauchungu na nchi yako nimalize kwakusema KWA PAMOJA TWAWEZA

thnx, pamoja.

pole sana mkuu, endelea tu kujivumilia kwa kuzaliwa Tanzania.

nakumbuka wakat nipo chuo kuna mshkaj mmoja aliniambia ukizaliwa tanzania, nyota yako imeuzwa.

Wakuu tafadhali nawaomba tutoke kwenye keyboard twende mitaani tukatoe elimu ya uraia na uzalendo kwa umma ili kunusuru rasirimali ya nchi hii na hatimaye kujinusuru toka kwenye huu UKOLONI MAMBOLEO.Huko jukwaa la mahusiano na mapenzi tutaenda baada kupata uhakika wa kula milo 3 kwa siku.Nani kati yenu asiyejua kuwa pasipo uhakika shibe hata 'nazi asilia' hazikunwi majumbani kwetu?

nafikiri lazma kila mmoja awe ambasador wa elimu ya Uraia. Si lazma uwe mwanasiasa. Kupanda kwa bei ya sukar na vingnevyo tunaadhrka sisi.

Back
Top Bottom