PAGAMECO
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,207
- 1,234
Wakuu Habari zenu wiki Zilizopita Kumetembea Video Inayoonyesha Utengenezwaji wa Mchele Feki na Inasemekana Teyari Umeshaingia Katika Masoko yetu ya Kila Siku na Kuna Video Nyingine Inayoonyesha Uwepo wa MTU akilalamika Kula Aina Hii ya Mchele " Leo wakati naanza Kula Nimeshituka Kidogo Mpaka Nime Loose Appetite ya Kula Nimeonja Mchele Yani hauna ladha Kabisa., Haunukii ,kama Mchele wa Kawaida Dhen Nikamuuliza Dada wa Kazi vip Akaniambia Upo tofauti na Mwingine Huu Hata Uupike Vip Hauvimbi........ ....kwa Wataalamu jamani Naomba Tujuzane Je Ni kweli Mchele Huu upo Na Kama Ni kweli Tutaujuaje Kama Ni Feki????