Nitautambuaje Mchele feki?

PAGAMECO

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
1,207
1,234
Wakuu Habari zenu wiki Zilizopita Kumetembea Video Inayoonyesha Utengenezwaji wa Mchele Feki na Inasemekana Teyari Umeshaingia Katika Masoko yetu ya Kila Siku na Kuna Video Nyingine Inayoonyesha Uwepo wa MTU akilalamika Kula Aina Hii ya Mchele " Leo wakati naanza Kula Nimeshituka Kidogo Mpaka Nime Loose Appetite ya Kula Nimeonja Mchele Yani hauna ladha Kabisa., Haunukii ,kama Mchele wa Kawaida Dhen Nikamuuliza Dada wa Kazi vip Akaniambia Upo tofauti na Mwingine Huu Hata Uupike Vip Hauvimbi........ ....kwa Wataalamu jamani Naomba Tujuzane Je Ni kweli Mchele Huu upo Na Kama Ni kweli Tutaujuaje Kama Ni Feki????
 
Nashindwa kuelewa Mchele unaagizwaje nje wakati wakulima wetu hawana Soko la uhakika la mpunga???
 
Wakuu Habari zenu wiki Zilizopita Kumetembea Video Inayoonyesha Utengenezwaji wa Mchele Feki na Inasemekana Teyari Umeshaingia Katika Masoko yetu ya Kila Siku na Kuna Video Nyingine Inayoonyesha Uwepo wa MTU akilalamika Kula Aina Hii ya Mchele " Leo wakati naanza Kula Nimeshituka Kidogo Mpaka Nime Loose Appetite ya Kula Nimeonja Mchele Yani hauna ladha Kabisa., Haunukii ,kama Mchele wa Kawaida Dhen Nikamuuliza Dada wa Kazi vip Akaniambia Upo tofauti na Mwingine Huu Hata Uupike Vip Hauvimbi........ ....kwa Wataalamu jamani Naomba Tujuzane Je Ni kweli Mchele Huu upo Na Kama Ni kweli Tutaujuaje Kama Ni Feki????
*Consumers' Tip Mchele Fake*
Unaponunua mchele tafadhali chukua kiasi kidogo tia katika kikombe kisha jaza maji, tingisha mchanganyiko wa maji na mchele uone kama mchele una elea ama uko chini ya maji.

Kama unaelea basi huo umetengenezwa kwa plastic na haufai kwa matumizi ya binadamu.

Kuwa makini mtumie na mwengine kunusuru afya zao.

Piga simu hii 022 245 0512 TFDA kuwajulisha umeununua wapi au polisi ili wahusika wakamatwe.

Kwapamoja tuzilinde afya zetu..

@TCAS-June.2017
 
Yaani nnavyopenda ubwabwa leo nimeshindwa kula,baada ya kuona utengenezaji wake nimekosa amani kabisa ukizingatia hadi kwa mangi michele hiyo ya plastic,tambi na hadi mayai vipo...aisee itabidi nirudi edeni tuu.
 
Ahsante mkuu,binafsi ni mhanga,nimeula na nimeushtukia siku ya pil baada ya tumbo kufula,yaani ndiyo nikapata wazo la kuufanyia utafit,mabak yake,kwanza hauyeyuk ukioloweka,Pil hauna harufu,tatu ukichukua punje moja na kuubana kama unaunyonga kwa vidole viwil unakuwa kama jojo yaan hausambaratik kwa urahis,nne ukiuloweka unaumuka na kubak vile vile badala ya kusambaratika kama ulowekapo kidonge cha Palacetamol,tano,hauna ukoko na sufuria linakuwa kama halijapika Wal kwa usafi badala ya kung'ang'ania,sita ukiula lazima uvembewe,saba ukiuchoma kwenye moto mfano punje inachomeka kwa kuyeyuka kama uchomapo jojo
 
Ahsante Mkuu nimepata mwanga

.."father G" the Golden Boy...
 
Yaani nnavyopenda ubwabwa leo nimeshindwa kula,baada ya kuona utengenezaji wake nimekosa amani kabisa ukizingatia hadi kwa mangi michele hiyo ya plastic,tambi na hadi mayai vipo...aisee itabidi nirudi edeni tuu.
Leo na Mimi umenishinda Aisee

.."father G" the Golden Boy...
 
Watu wanauchanganya na ule wa kawaida aseeh.... watafanya nisile wali au niende kununua shambani kabisa
 
Ahsante mkuu,binafsi ni mhanga,nimeula na nimeushtukia siku ya pil baada ya tumbo kufula,yaani ndiyo nikapata wazo la kuufanyia utafit,mabak yake,kwanza hauyeyuk ukioloweka,Pil hauna harufu,tatu ukichukua punje moja na kuubana kama unaunyonga kwa vidole viwil unakuwa kama jojo yaan hausambaratik kwa urahis,nne ukiuloweka unaumuka na kubak vile vile badala ya kusambaratika kama ulowekapo kidonge cha Palacetamol,tano,hauna ukoko na sufuria linakuwa kama halijapika Wal kwa usafi badala ya kung'ang'ania,sita ukiula lazima uvembewe,saba ukiuchoma kwenye moto mfano punje inachomeka kwa kuyeyuka kama uchomapo jojo
Asante sana kwa kutoa maelezo mazuri kuhusu mchele huu wa plastic. Hii itasaidia Watanzania katika kuepukana na janga hili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom