Tupe mrejesho, kuna lockdown Chato?Ghafla imegeuka kisiwa si lori si basi si baiskeli inayoruhusiwa kuingia wala kutoka. Sijui nimechelewaje kutoka
Aaah
Kwa hiyo mwigulu ataapishwa na Bashite
ataapishwa kwa njia ya simu au video callKwa hiyo mwigulu ataapishwa na Bashite
Twende na sisi huko Toto au unasemaje?
Baada ya kujufukiza au kablaataapishwa kwa njia ya simu au video call
Yakweli hayo?Ghafla imegeuka kisiwa si lori si basi si baiskeli inayoruhusiwa kuingia wala kutoka. Sijui nimechelewaje kutoka
Aaah
Sitoshangaa naibu raisi akaagizwa amuapishe hahaa