kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,231
- 12,200
Ndio anayewanyanyasa na kuwalundikia mizgo wa kodi?Wafanyabiashara wana hasira na mgombea kutoka Ubeligiji ambaye anataka kuwaharibia mfumo wao wa kufanya biashara
Ndio anayewanyanyasa na kuwalundikia mizgo wa kodi?Wafanyabiashara wana hasira na mgombea kutoka Ubeligiji ambaye anataka kuwaharibia mfumo wao wa kufanya biashara
Ndio anayewanyanyasa na kuwalundikia mizgo wa kodi?
Wafanyakazi wa umma wote hawatamchagua mtukufu magufuli kamwekitakachoshangaza zaidi ni wafanyakazi wa umma kumpa kura Magu wakati hajawaongezea mishahara kwa miaka mi5 huku gharama za maisha zikipaa juu!.
Mnaokula bure ndio maneno yenu hayo, ila sisi tunaojitafutia kwa kufanya biashara tunaumia sanaHizo ni sera za Chadema
NECCCM Tumeccm na Polisiccm watatumia matokeo ya 2015 na kuongezea kidogo tu watamsimika mtukufu magufuli kienyeji kwa njia haramu za kishetani hakukuwa na haja ya kufanya uchaguzi kwani wanayo matokeo mifukoni mwao tayari.Toeni updates za uchaguzi.
Wewe bado unavuta Bangi hapo gheto kwa cyprian Musiba?Hizo ni sera za Chadema
Kwa kura zipi? Maana hakuna mwenye Akili timamu kamchagua na wenye Akili timamu ni wengi kuliko wajinga, JPM anakutosha wewe mnufaika wa trilion 1.5 kisha mkamtoa CAG kafara, atosha kwako mnufaika wa blackmail za kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzaniNi Magufuli Tenaaa...Mitano Tenaaaa
Congratulations in advance President Magufuli
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Msilete nongwa leo ndio mtajua Watanzania kuwa ni wazalendo na wapenda Maendeleo.Kwa kura zipi? Maana hakuna mwenye Akili timamu kamchagua na wenye Akili timamu ni wengi kuliko wajinga, JPM anakutosha wewe mnufaika wa trilion 1.5 kisha mkamtoa CAG kafara, atosha kwako mnufaika wa blackmail za kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani
Km sisi tunavokushangaa ulivo mweupe kichwani....shwain wwKila nikikumbuka maamuzi magumu ya Rais Magufuli kuhusu Corona, sina shaka na utimamu wake na ujasiri.
Kwa kipindi kama kile ambacho nchi nyingi ziliamua kufunga biashara na shughuli nyingi za kiuchumi, mtu huyu aliamua kwamba wafanyabiashara waendelee na biashara zao na shughuli nyingine ziendelee.
Hakuna biashara iliyofungwa, lakini watanzania hawana shukrani wanasahau yote kisa mtu ambaye kwa ninavyomtazama mlengo wake si wa kimisimamo binafsi bali ya kuongozwa na anaowaamini.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Magufuli anastaili kukamilisha kipindi cha miaka 10, uongozi si wa kubadilisha kama nguo. Tukipata kiongozi mzuri basi tumuache amalize awamu zote mbili.
Tayari tushampigia Lissu,magu akajambe çhattoKila nikikumbuka maamuzi magumu ya Rais Magufuli kuhusu Corona, sina shaka na utimamu wake na ujasiri.