Nitarudishaje "Uanaume" wangu?

The Dark

Member
Mar 25, 2019
54
65
Wakuu.

Wakati wa mwanzo wa ujana wangu nilifundishwa kitu kibaya, rafiki yangu mmoja aliyekuwa amenizidi umri alinipa ushauri ambao umeniharibia 'future' yangu kama mwanaume.

Wakati huo nikiwa natoka primary kwenda secondary, ni kipindi ambacho hisia za 'ngono' zilianza kushika kasi. Rafiki yangu ni mtu aliyekuwa busy na mademu. Wakati huo sikupenda kujihusisha na mahusiano, lakini mazungumzo yalizungumzwa na marafiki mara zote yalihusu ngono..

Kipindi hicho ndipo ambapo video za porno zilishika kasi, wale waliojaliwa simu za 'memori' walijaza video hizo. Baada ya skuli ni kujichimbia ghetto kuzitazama.

Hapo ndipo tatizo lilopoanzia, Kujichua!

Rafiki akanionesha kila aina ya upigaji puli. Kuanzia kutumia sabuni hadi mafuta. Tabia hii ilianza kuniathiri mimi kuliko yeye na wengine. Ilifikia kipindi sikuweza kulala bila kujichua, muda mwingine hadi mara tano kwa siku.

Kibaya zaidi, wakati fulani hakukuwa na sabuni wala mafuta,yaani ni uume na mkono wangu, kitandani tulilala wawili, mimi na mdogo wangu, kipindi cha zaidi ya mwaka mmoja dogo akilala tu zoezi linaanza, mkono na uume, kuna kipindi uume ulivimba hivyo nikaapa kuacha. Lakini hazikupita siku nyingi nikarejea kule kule.

Nikiwa bafuni siwezi kutoka bila kujichua, usiku haukuchi bila kujichua, tenamara bila kilainishi. Wakati huo niliweza kwenda hata bao mbili bila uume kulala, baada kidogo mabadiliko yakaanza, bao la kwanza lilikuja baada ya sekunde kadhaa uume unasinyaa naendelea na mambo yangu. Sijui ujinga gani.

Hali hii niliifurahia kwa kuwa niliridhika mapema na hivyo kuepusha uwezekano wa 'kufumaniwa' au kukaa bafuni muda mrefu.

Siku zikayoyoma, uume kusimama ni kwa mbinde, naangalia porno(kwenye simu yangu) ndiyo angalau 'kauume' kasimame, wakati wote huo wasichana wa nini kwa mfano, wakati raha najipa mwenyewe.

Baada ya kumaliza O-level, akili ndio inakuja, tayari nina tatizo. Uume umesinyaa sana. Sijui kwanini sikugundua mapema.

Kusimama ni kwa shida, tena ukisimama ni kwa muda mrefu unajikunyata tena. Kuna kipindi niliogopa kutafuta 'demu', wa nini?Nitamfanya na hali hii?

Nilisafiri nje ya nyumbani, huko ndiko nilipopata sehemu ya kufanya majaribio. Hawanijui, nikawa nafika mshindo kwa sekunde kadhaa and the case closed.

Uume hausimami, nausimamisha kwa kukaza sana misuli ya tumbo, nikiiachia uume unalegea.

Kuna wakati nilipata msichana nikiwa safarini, nilishangaa uume ulisimama sana japo ukubwa umepungua sana. Cha ajabu ndani ya uke sikuhisi chochote cha tofauti. Ni kama hisia hamna kabisa, uume umezoea mkono.

Nilitumia zaidi dakika kumi sikuhisi hata dalili ya kufika kileleni. Nilimuacha ndani (guest house) huyo binti na kuondoka zangu.

Sasa nina miaka 23, nimepata binti niliyetokea kumpenda sana,and she loves me the same. Tuna miezi kumi tangu tuanze mahusiano. No Sex!

Nalijua tatizo langu, naogopa kuaibika.

Natamani sana siku za usoni nimuoe, nitamuoa! ila itakuwaje?

Uume ninao, umepungua ila kupungua sio tatizo kwangu. Unasimama ila si kwa muda mrefu.

Sina wa kumlaumu.

Ila tatizo hili nitalitatuaje?

Ushauri uliotolewa na wadau
Kwanza, pole kwa changamoto lakini pia, hongera sana kwa kukubali kwamba una tatizo - hiyo ni hatua muhimu sana kuelekea kutatua tatizo lako. Kutambua na kukubali kwamba una tatizo ni kama nusu kuelekea utatuzi wa tatizo lenyewe la msingi.

Pili, kwa maoni yangu tatizo lako liko zaidi akilini mwako - umeshahitimisha kwamba una tatizo la kusimamisha na halina tiba, si kweli bali hivyo ndivyo unavyofikiri. Akili zetu zina nguvu sana kuliko tunavyofikiri, ukiiaminisha akili yako kwamba 'siwezi', basi tambua kwamba hutaweza kabisa, lakini ukiiaminisha akili yako kwamba 'ninaweza; basi utashangaa jinsi utakavyoweza.

Tatu, una haraka mno, tambua kwamba tatizo lako ni la muda mrefu - ni miaka kadhaa, hivyo utatuzi wake pia utachukuwa muda. Ugonjwa umeingia polepole kwa miaka kadhaa hivyo hauwezi kutoka kwa muda mfupi ili hali ulichukua muda mrefu kuingia. Ni kama mtu aliyevuta sigara kwa miaka kadhaa na kisha anataka kuacha kwa muda mfupi haiwezekani.

Ushauri wa utatuzi
1) Jiaminishe kwamba tatizo lako ni la muda na litapona. Hii ni muhimu sana kukiri moyoni kwamba ltaisha. Hii ni ngumu kwasababu ya mazoea lakini jitahidi sana kutoka moyoni/akilini mwako kwamba wewe si wa kwanza kupata tatizo kama hili hivyo litaisha. Ukiwa na chembechembe tu cha mashaka kwamba hutapona, basi ni kweli kwamba hutapota. Hapa unacheza na akili yako, lazima uiambie akili yako kwamba I will be okay.

2) Acha kabisa, sio kujaribu tena hiyo kitu bali acha hata kufikiria kabisa. Unahitaji kukaa muda muda mrefu ili kurudisha 'nguvu' zako zilizopotea. Usiwaze masuala hayo kwa muda sasa, tafuta vitu ambavyo vitaku keep busy, fanya kazi, soma vitabu, fanya mazoezi n,k keep yourself busy kwa muda wa miezi kadhaa na polepole hali yako itaanza kurejea taratibu.

3) Jenga afya yako - kula vizuri, mlo ulio kamili kwa wakati, fanya mazoezi na pata muda wa kulala/kupumzika wa kutosha - ujenge afya yako. Epuka maisha au mazingira yatakayokupa msongo wa mawazo, jijengee mazingira ya furaha na uchangamfu.

4) Usiwe na haraka ya kutafuta mwanamke sasa hivi, kama ni mwanamke awe 'rafiki wa kawaida' na yasiwepo masuala ya ngono kwa sasa. Kama ni mwanamke awe aliyepevuka mwenye hekima ambaye hata akijua hali yako hatakuhukumu, unahitaji 'rafiki' atakayekupa support kwenye hali hii. Kama hapatikani, basi kwa sasa achana nao hadi utakapokuwa sawa.

Jiambie wewe si wa kwanza kuwa na tatizo kama hilo so don't worry you will be fine.
---
Jiamini mkuu kaka yako nimetoka huko, tena mimi nilikuwa balaa kwenye hizo mambo. Nilikuwa nanyetuka hadi kwenye daladala.

Niliacha na sasa nimeoa wake wawili, nasimamia mzigo vizuri. Ila itachukua muda kukaa sawa, inabidi huyo demu wako awe mvumilivu, maana wengine wana maneno ya shombo, kuendea huwezi.

Mimi nilifanya mazoezi kwa mademu tofauti tofauti, hadi nikawa sawa.

Usisahau kugoogle mazoezi ya kuimarisha misuli ya uume, itakusaidia pia ila kikubwa ni kujikubali husiwe mnyonge kwenye shoo na wakati wa mwanzo cheza vizuri kwenye romance.
---
Mkuu fanya mazoezi. Narudia tena fanya mazoezi. Weka ratiba vizuri ya kuweza kufanya mazoezi boss, asubuhi/ jioni.

Mazoezi mwanzo huwa kama yanachosha ila nakuhakikishia ukifanya Kama kwa siku nne mfululizo Itakuwa Kama utamaduni wako.

Hakuna dawa yeyote ile boss wangu ya madhara ya punyeto ya hakika ukiachana na mazoezi.

Take time brother utakuja kunishukuru mwenyewe.
---
Acha punyeto, kula ushibe alafu fanya shuhuli zako kama kawaida.

Sio lazima mazoezi endapo ukijua nini, hutamaliza hata mwezi utaanza kuwa fiti.

Cha muhimu kula chakula bora tu huku ukifanya ukijiweka mbali na punyeto au upige mara moja kwa week.

Kuacha ghafla haiwezekani maana ukila vizuri baada ya siku 3 tu hamu ya kumwaga bao huwa inasoma 4G.

Nenda ukipunguza kidogokidogo mpaka miezi ipite na hatimaye mwaka na miaka.

Narudia tena kukwambia kwamba, muathirika wa punyeto hawezi kuacha ghafla labda tu awe ana mwanamke wa kumfanyia mazoezi.
---
Ni vizuri kama umekubali tatizo na dawa ya tatizo sio kulikimbia ni kulikabili. Jiamini na uamini ya kuwa unaeza kurudi katika hali yako ya mwanzo kabla haujangia kwenye hayo mambo.

Iko hivi kwa watu waliojiingiza katika kujichua uwezekano wa kutoka upo lakini ukiamua mwenyewe bila wewe mwenyewe kuamua ufikirie tu flani aliniambia niache hivyo hautaweza.

Jichanganye na watu tofauti tofauti sio wenye kupenda kuongelea mambo ya mapenzi na usipende kukaa mwenyewe pia usipende kuangalia porn au video zenye vichochezi ya wewe kurudi katika hiyo hali.

Jiulize kwanini fulani anadem wake mkali na anafanya nae mambo mimi ninaye lakini siwezi kutokana na hii hali yangu then ikatae kabisa fanya maamuzi bila hvyo utajikuta unaishia huko tu.

Uzuri hiyo kitu ukiamua wewe mwenyewe unaweza mazoezi pia yanachangia kukuweka bize maana hautawaza sana hayo mambo.

Pia ujitahidi wakati unaenda kuoga usikae muda mrefu ukijisafisha sehemu zako za siri maana ni kichochezi kimoja wapo au hata muda umepumzika usijishike sehem zako za siri ukiamua unaweza ila usipoamua utaishia kujilaumu kila siku na kuomba ushauri wakati wewe mwenyewe ndio tatizo.

Then ipo hivi kwa mtu anayejichua akiamua kuacha hyo kitu kwa takribani siku 40 basi huyo tayari ameshajinasua, jitahidi kupanga ratiba itakayokuweka bize ndani ya muda huo utafurahia mwenyewe.
---
The Dark, Ushauri wangu upo hivi. Hisia zozote zinaendeshwa na ubongo. Ubongo uruhusu kila kitu kiweze kufanyika kwa wakati na muda sahihi.

Tatizo lako lipo kwenye brain centre ambao brain have already learnt on wat you should do wen having sexual desire. Hivyo basi cha kufanya unaweza kukutana na sexual cancellors waweze kuanza kukupatia brain and mind treatment psychologically.

It may take a long hour session in order the brain to learn again on sex exercise. Psychology treatments inaweza kuendana na baadhi ya madawa ya kuingizia hormone release which stimulate sexual arosal hata ukiwa na mpenzi wako( don't use viagra).

Sexual disorder Rx needs time and learning. Jitahidi mtafute pychologists hasa wa sex practices au unweza kwenda hospital kitengo cha pychiatrics huwa wana vitengo vya psychology treatements. Unaweza anzia hapo then Doctors will direct u what to do.

Sexual disorders are emerging rapidly in Tanzania. Researches shows atleast 5 men appear at the hospital with the same complain and more though many fail to explain it to Doctors.

Work on it!
 
The Dark,
Huko kujiamini ndio umekuandika hapa sasa hivi ila uzi wako hauna hicho kitu ndugu yangu.

Unaweza chukulia poa niliyosema lakini yana maana kubwa juu ya tatizo lako, amini nakuambia hapatatokea mtu hapa akuambie kanunue dawa flani umeze utapona.
 
Jiamini mkuu kaka yako nimetoka huko, tena mimi nilikuwa balaa kwenye hizo mambo. Nilikuwa nanyetuka hadi kwenye daladala.

Niliacha na sasa nimeoa wake wawili, nasimamia mzigo vizuri. Ila itachukua muda kukaa sawa, inabidi huyo demu wako awe mvumilivu, maana wengine wana maneno ya shombo, kuendea huwezi.

Mimi nilifanya mazoezi kwa mademu tofauti tofauti, hadi nikawa sawa.

Usisahau kugoogle mazoezi ya kuimarisha misuli ya uume, itakusaidia pia ila kikubwa ni kujikubali husiwe mnyonge kwenye shoo na wakati wa mwanzo cheza vizuri kwenye romance.
 
Mkuu fanya mazoezi. Narudia tena fanya mazoezi. Weka ratiba vizuri ya kuweza kufanya mazoezi boss, asubuhi/ jioni.

Mazoezi mwanzo huwa kama yanachosha ila nakuhakikishia ukifanya Kama kwa siku nne mfululizo Itakuwa Kama utamaduni wako.

Hakuna dawa yeyote ile boss wangu ya madhara ya punyeto ya hakika ukiachana na mazoezi.

Take time brother utakuja kunishukuru mwenyewe.
 
Pole sana jamaa,

Hili ni tatizo sugu ambalo nina uhakika wanaume wengi wamelipitia japokuwa wengine wanakuwa/tunakuwa hatukuathirika sana.

Pornography is the fuel for musturbation, let you stay away from it. La msingi tu achana na hilo suala. Acha kujichua na fanya mazoezi utapona.

Jiamini pia. Usijione kama huwezi. Nikikuelekeza dawa ya kufanya ili urudi kuongeza nguvu utapata nguvu za kulipuliza tena.

I have helped you anyway. Fanya hivyo utapata matokeo.
 
Kwanza, pole kwa changamoto lakini pia, hongera sana kwa kukubali kwamba una tatizo - hiyo ni hatua muhimu sana kuelekea kutatua tatizo lako. Kutambua na kukubali kwamba una tatizo ni kama nusu kuelekea utatuzi wa tatizo lenyewe la msingi.

Pili, kwa maoni yangu tatizo lako liko zaidi akilini mwako - umeshahitimisha kwamba una tatizo la kusimamisha na halina tiba, si kweli bali hivyo ndivyo unavyofikiri. Akili zetu zina nguvu sana kuliko tunavyofikiri, ukiiaminisha akili yako kwamba 'siwezi', basi tambua kwamba hutaweza kabisa, lakini ukiiaminisha akili yako kwamba 'ninaweza; basi utashangaa jinsi utakavyoweza.

Tatu, una haraka mno, tambua kwamba tatizo lako ni la muda mrefu - ni miaka kadhaa, hivyo utatuzi wake pia utachukuwa muda. Ugonjwa umeingia polepole kwa miaka kadhaa hivyo hauwezi kutoka kwa muda mfupi ili hali ulichukua muda mrefu kuingia. Ni kama mtu aliyevuta sigara kwa miaka kadhaa na kisha anataka kuacha kwa muda mfupi haiwezekani.

Ushauri wa utatuzi
1) Jiaminishe kwamba tatizo lako ni la muda na litapona. Hii ni muhimu sana kukiri moyoni kwamba ltaisha. Hii ni ngumu kwasababu ya mazoea lakini jitahidi sana kutoka moyoni/akilini mwako kwamba wewe si wa kwanza kupata tatizo kama hili hivyo litaisha. Ukiwa na chembechembe tu cha mashaka kwamba hutapona, basi ni kweli kwamba hutapota. Hapa unacheza na akili yako, lazima uiambie akili yako kwamba I will be okay.

2) Acha kabisa, sio kujaribu tena hiyo kitu bali acha hata kufikiria kabisa. Unahitaji kukaa muda muda mrefu ili kurudisha 'nguvu' zako zilizopotea. Usiwaze masuala hayo kwa muda sasa, tafuta vitu ambavyo vitaku keep busy, fanya kazi, soma vitabu, fanya mazoezi n,k keep yourself busy kwa muda wa miezi kadhaa na polepole hali yako itaanza kurejea taratibu.

3) Jenga afya yako - kula vizuri, mlo ulio kamili kwa wakati, fanya mazoezi na pata muda wa kulala/kupumzika wa kutosha - ujenge afya yako. Epuka maisha au mazingira yatakayokupa msongo wa mawazo, jijengee mazingira ya furaha na uchangamfu.

4) Usiwe na haraka ya kutafuta mwanamke sasa hivi, kama ni mwanamke awe 'rafiki wa kawaida' na yasiwepo masuala ya ngono kwa sasa. Kama ni mwanamke awe aliyepevuka mwenye hekima ambaye hata akijua hali yako hatakuhukumu, unahitaji 'rafiki' atakayekupa support kwenye hali hii. Kama hapatikani, basi kwa sasa achana nao hadi utakapokuwa sawa.

Jiambie wewe si wa kwanza kuwa na tatizo kama hilo so don't worry you will be fine.
 
Acha punyeto, kula ushibe alafu fanya shuhuli zako kama kawaida.

Sio lazima mazoezi endapo ukijua nini, hutamaliza hata mwezi utaanza kuwa fiti.

Cha muhimu kula chakula bora tu huku ukifanya ukijiweka mbali na punyeto au upige mara moja kwa week.

Kuacha ghafla haiwezekani maana ukila vizuri baada ya siku 3 tu hamu ya kumwaga bao huwa inasoma 4G.

Nenda ukipunguza kidogokidogo mpaka miezi ipite na hatimaye mwaka na miaka.

Narudia tena kukwambia kwamba, muathirika wa punyeto hawezi kuacha ghafla labda tu awe ana mwanamke wa kumfanyia mazoezi.
 
The Dark,

Hivi ni kwanini mmekuwa mukiaminishana kuwa kila mwenye tatizo ka nguvu za kiume ni kuwa inatokana na kujichua?

Mbona kuna sababu nyingi na kubwa zaidi ya tatizo hilo huwa hamzizingatii?
 
Puchu ni kama kilevi, wengine inawaathiri kisaikolojia, wengine wanakuwa kawaida tu.

TIBA:
Acha kabisa nyeto, wanawake ndiyo watakaokusababishia uache nyeto.

CHA KUFANYA:
Tafuta demu uliyemzidi kiwango cha kujiamimi ambaye ukiwa naye unakuwa huna hofu yoyote, demu huyu awe anapatikana muda wowote ule unaotaka wewe.

Kutana naye kila unaposikia hamu ya kupiga puchu au ya tendo la ndoa. Ukutane naye kila ukiwa na hamu kwa sababu, kama huna hamu, wakati wa tendo mzee anaweza kugoma halafu utazidi kuwa na msongo wa mawazo.

Kadri utakavyokuwa unafanya naye mapenzi mara kwa mara, ndivyo utakavyozidi kuona papuchi tamu kuliko puchu, utaipuuzia na kuiacha puchu, na kuimarika kiperformance na kisaikolojia.

Baada ya kumtumia huyo demu kama dawa, nenda kwa mademu wengine tofauti tofauti. Ukishajiona umepona kabisa, rudi kwa mwanamke unayetaka kumuoa, funga naye ndoa.
 
Nimeandika yaliyonisibu....sijui umenielewa

Ulichoandika ni kua na confidence ya moja kwa moja ya kuwa tatizo lako linatokana kujichua.
Suali ni kipi kilichokuthibitishia kua tatizo lako linatokana na kujichua?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom