Nitarudi nyumbani kwetu CHADEMA

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,334
NITARUDI NYUMBANI KWETU CHADEMA.

Siku hazigandi nitarejea nilikozaliwa kisiasa na kukulia kisiasa kule nyumbani kwetu Chama Cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA.

Na hakuna mtu wakunifukuza kazi Utumishi wa Umma, na nitamuumbua Rais Magufuli na uongo wake.

Waambieni Polisi wanikamate tena, muone nitakacho wafanya. NCCR Mageuzi na CCM ilikuwa ni mapito ya kujua ujinga wa taifa letu ulipo na ACA yangu itakuwa ndio mbadala wa UKAWA.

Deogratius Kisandu. Picha hii ni ya mwaka 2011 viwanja vya Bacelona Kahama.

19642451_1622450171152342_1846246167521578701_n.jpg
 
NITARUDI NYUMBANI KWETU CHADEMA.

Siku hazigandi nitarejea Nilikozaliwa kisiasa na kukulia kisiasa kule Nyumbani kwetu Chama Cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA. Na hakuna mtu wakunifukuza kazi Utumishi wa Umma, na nitamuumbua Magufuli na uongo wake. Waambieni Polisi wanikamate tena, muone nitakacho wafanya. NCCR Mageuzi na CCM ilikuwa ni mapito ya kujua ujinga wa taifa letu ulipo.na ACA yangu itakuwa ndio mbadala wa UKAWA.

Deogratius Kisandu. Picha hii ni ya mwaka 2011 viwanja vya Bacelona Kahama.

19642451_1622450171152342_1846246167521578701_n.jpg

Karibu sana,huku kwetu hatukati mikia unakuja na mkia wako ukiwa kamili kabisa.
 
siyo bure!! Kuna pepo la siasa linakusumbua.Nina wasiwasi na njinsi unavyoendesha maisha yako binafsi na familia
 
Umeamua tu au una kesi mahakamani unataka usaidiwe kama wema sepetu?

from Katesh using Siemens C55
 
Deo nlidhani mambo yako unamaliziaga huku Jf tu ila kuna siku nikakutana na account yako insta... Aisee nlicheka sana jamaa umepost piçha za sasha obama kama mia ivi

Hujachelewa lakini... Its time you pay a physiatrist a visit
 
Back
Top Bottom