Nitarudi CCM endapo watuhumiwa wa Escrow watafungwa

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Sep 18, 2013
9,126
8,625
Kichaa mmoja maarufu maeneo ya Kakola ametoa ya mwaka baada ya kumfuata kada wa CCM na kutoa shinikizo na hapa namnukuu; CCM naipenda sana lakini kwa sasa nimeiacha na tarundi chamani endapo wahusika wa ESCROW watakamatwa na kufungwa. Hizi hapa nibaadhi ya picha alipokuwa akitiririka.
 

Attachments

  • 1418388869822.jpg
    1418388869822.jpg
    84.8 KB · Views: 233
  • 1418388898593.jpg
    1418388898593.jpg
    75.5 KB · Views: 192
  • 1418388919699.jpg
    1418388919699.jpg
    79.1 KB · Views: 186
  • 1418388962495.jpg
    1418388962495.jpg
    81 KB · Views: 173
Waanze na mwenyekiti wao ambaye kumbe ndiye kamanda mkuu na mlinzi wa majambazi menziye. Amekaa akichekacheka kama ngenyela kuwahadaa watanzania kumbe ana mission yake ya siri. Divine justice shall always prevail no matter how long it takes!.
 
Thubutuuuu wote wezi atakayemfunga mwenzie hapo ni nani we hujiulizi ule ujasiri wanautoa wapi weshatusoma watania tulio wengi mazebe.
 
...Huyo ni mmoja wapo tu wa vichaa waliomo CCM, tuwekee picha za vichaa wengine wa CCM akina Simiyu Yetu, Lizaboni, laki si pesa, Ritz na wengineo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom