Nitapenda kujuwa nini fikra zenu

Sonara

JF-Expert Member
Oct 2, 2008
726
68
Tujalie tu haya yanayotokea katika nchi za Tunisia , cairo,yemen etc yametokea hapa Tanzania, jee kwa fikra zenu Rais wetu atakimbilia nchi gani ?

Tuombe Mungu asitufikishe huko .
 
Back
Top Bottom