Nitapeleka wanariadha wakajifunze kwa Dibaba na Bekele.!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nitapeleka wanariadha wakajifunze kwa Dibaba na Bekele.!!

Discussion in 'Sports' started by usungilo, Aug 21, 2012.

 1. u

  usungilo JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 499
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  Hii ni kauli atakayorudi nayo jk akirudi kutoka kwenye mazishi ya Zenawi. Watanzania tu watu wa ajabu sana, tunaweza hata kugombania samadi na kuacha dhahabu!! Nahisi hata Mungu hajishughulishi tena kusikiliza maombi yetu.
   
Loading...