Nitapata wapi Sanitizer yenye ujazo lita 5, na inauzwa kiasi gani?

nyumbamungu

JF-Expert Member
Mar 3, 2017
997
828
Nimepata wateja wa Sanitizer "kitakasa mikono" wanaoishi kwenye Apartment zilizokaribu na kijiwe changu, hivyo naulizia wapi naweza pata yenye ujazo wa lita 5 halafu niweke kwenye ujazo wa 500 ml kushuka chini. Hiyo lita 5 inauzwa kwa bei gani?
 
Back
Top Bottom