Nitapata wapi Samsung Galaxy Tab 3 7.0 Jelly Bean firmware?

Strictly Syrup

JF-Expert Member
Aug 4, 2013
1,219
1,785
Ni kwa mapenzi yake Mungu tunaendelea kuwa na uhai.

Nina Samsung Galaxy Tab 3 7.0 yenye model namba ya SM-T211 ambayo niliiupdate kwenda KitKat (Android 4.4.2) lakini,tablet hii imekuwa inalag sana. Nikaamua nitafute Jelly Bean firmware ili niweze kuflash upya. Jana usiku kucha nimetafuta sana firmware hii, lakini kila cloud server ninayoingia kudownload firmware hii ina limited download speed (Approximately 30KB/s) Kwa hiyo nilikuwa naomba kupata angalau link ambayo naweza kudownload kwa haraka kwa kuwa nina Connection yenye speed kubwa.
 
nenda sammobile mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom