Nitapata wapi mtumba grade A jeans tupu kama suruali au sketi fupi au makoti ya jeans?

Mimi mstaarabu

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
258
566
Habari,

Naomba kujuzwa ni sehem gani nitapata mtumba grade A kwa Dar es salaam.

Natamani kuanza biashara hii ya mtumba lakini jeans tupu na PIA inahitajika mtaji wa kiasi gani?
1618481922662.png

Pia soma:Chimbo la belo za mtumba grade A pasipo na matapeli na waongo zinapatikana wapi kwa Dar es Salaam?
 
Mabalo ya mtumba yanapatikana mnazi mmoja Dar, mi pia ndo nakochulia uko. Na pia kwa wakazi wa morogoro NAWAKARIBISHA dukan huwa nafungua a balo za jumpsuit, jeans, cotton blouse, shifon blouse wale wa kupoint karibuni.
Mnofungulisha hua mnakauli mbaya kwa wateja sijui kwa upande wako ipoje
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom