Nitapata wapi fundi funguo hapa Moshi

mbalila

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
824
158
Wana jf anayefahamu wapi nitapata fundi funguo hapa moshi mjini,nimepeza funguo moja ya chumba sasa mwenye nyumba hatanielewa, kwa anayefaham anisaidie
 
Hii jf i?eharibu watu uweza wa kufikiri. Nenda double road ulizia hapo kuna fundi saa mmoja kwenye kibaraza cha duka la mhindi. Atakuelekeza
 
Mi kucha zangu zimebanduka rangi........nitumie nini Ili zing'ae.........?
 
Hehehe kuna consultant wa urembo pale kwenye round about ya saa ukipandisha juu hivi. Kuna bar iko kwenye orofa, mbele yake kuna orofa ingine sasa ulizia hapo.

Lace wig nauza mwenyewe orijino. Bei kuanzia laki nane
Mi kucha zangu zimebanduka rangi........nitumie nini Ili zing'ae.........?
 
Wana jf anayefahamu wapi nitapata fundi funguo hapa moshi mjini,nimepeza funguo moja ya chumba sasa mwenye nyumba hatanielewa, kwa anayefaham anisaidie
Nenda mitaa ya MDC au Azania bank utapata mafundi mitaa hiyo
 
Kumbuka ni nyumba ya mangi,nyumba ya watu acha masihala kwenye suala tete kama hii
 
Hehehe kuna consultant wa urembo pale kwenye round about ya saa ukipandisha juu hivi. Kuna bar iko kwenye orofa, mbele yake kuna orofa ingine sasa ulizia hapo.

Lace wig nauza mwenyewe orijino. Bei kuanzia laki nane

Asante kingasti kwa kudumisha mila orofa na imani bibi yako hawezi tamka neno gorofo watoto waliolelewa na bibi na babu humu tutawajua tu.
 
nenda east african pub yupo fundi pale.azania bank yupo fundi pale.
 
Mie nimejilea mwenyewe. Kwa hiyo naweza kuongea kiswahili kyokyote kire.
Asante kingasti kwa kudumisha mila orofa na imani bibi yako hawezi tamka neno gorofo watoto waliolelewa na bibi na babu humu tutawajua tu.
 
Wana jf anayefahamu wapi nitapata fundi funguo hapa moshi mjini,nimepeza funguo moja ya chumba sasa mwenye nyumba hatanielewa, kwa anayefaham anisaidie

Ruka chap hapa Arusha barabara ya msikiti mkuu na Soko kuu mkabala na Bondeni sekondari au kwa Banduki mtaa wa reli station au Krokoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom