NITAPATA WAPI DAWA YA KIENYEJI YA U.T.I SUGU

Mkwawa mnyalukoro

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
232
136
Wataalaam naomben mnielekeze dawa ya KIENYEJI ya UTI SUGU Coz nmetumia kila aina ya madawa ya hospitalin lkn sion mabadiliko

Huu ni mwaka Wa tatu inanitesaga tu
 
Mke wangu aliugua U.T.I kwa muda wa miaka miwili mfululizo , kila tukienda hospital ipo tu mwisho wa siku nikahisi labda ana P.I.D lakini walivyompima wakasema ni U.T.I tu.

Mwaka huu mwezi wa pili kuna sheikh nilimkuta anauza dawa za kisunna maeno ya Mbagala Rangi tatu ila sikumbuki bei ya zile dawa aliniuzia chupa tatu kwa maelezo yake hiyo ndio dozi kamili unachanganya kwenye maji ya uvuguvugu na hiyo dawa inakuwa kwenye ujazo wa kijiko kimoja cha chai.

Alivyomaliza kunywa ile dawa alienda kupima tena nashukuru mpaka leo imebaki historia tu kuwa alikuwa na huo ugonjwa. Dawa inaitwa HASWA amepona kabisa wakati power cafe ilishindwa kazi na zile dawa hata elfu 20 haikufika.
 
Kwaio miaka yote hiyo miwili ulikua unamkula dry tu?
Ndio maana yake kuku wangu naanzaje kumshikia manati.
FYI kwa miaka yote hiyo pia nikipima bado nilikuwa sina maambukizi ya U.T.I hviyo sijui kwa nini nilikuwa siambukizwi.
 
Wataalaam naomben mnielekeze dawa ya KIENYEJI ya UTI SUGU Coz nmetumia kila aina ya madawa ya hospitalin lkn sion mabadiliko

Huu ni mwaka Wa tatu inanitesaga tu
Poleh
Wewe ni Ke ama Me?
Ukienda washroom baada ya kujisaidia unajisafishaje?

Na maji ama tissue?
Unafuta kuja mbele ama nyuma?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom