M MAKAH JF-Expert Member Sep 27, 2010 1,582 265 Jun 4, 2013 #2 ingia internet cafe yeyote utapata maelezo ya kina. kama uko vijijini nenda wilayani na miji midogo yenye umeme lazima huduma hiyo ipo
ingia internet cafe yeyote utapata maelezo ya kina. kama uko vijijini nenda wilayani na miji midogo yenye umeme lazima huduma hiyo ipo
BJ.Sahani JF-Expert Member Aug 12, 2012 220 31 Jun 4, 2013 #3 Form za mikopo ya vyuoni inapatikana kwenye mtandao wa bodi ya mikopo heslb (www.olas.heslb.go.tz)
T Thema JF-Expert Member May 8, 2013 301 64 Jun 4, 2013 #4 MAKAH said: ingia internet cafe yeyote utapata maelezo ya kina. kama uko vijijini nenda wilayani na miji midogo yenye umeme lazima huduma hiyo ipo Click to expand... Naam naam,hiyo ndo njia husika.
MAKAH said: ingia internet cafe yeyote utapata maelezo ya kina. kama uko vijijini nenda wilayani na miji midogo yenye umeme lazima huduma hiyo ipo Click to expand... Naam naam,hiyo ndo njia husika.