Nitaondoaje Hili Tatizo Lililotokana na Matumizi ya Dawa ya Fansida

Field Marshal

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
416
500
Nilikunywa fansida siku 1 mwaka 2009 nilipoamka kesho yake nilivimba uso na macho, alafu uso ukawa mweusi sehemu niliovimba. Hadi Leo bado kweusi.

Msaada kwa anaejua namna gani nifanye ili hii hali itoke tafadhari.

Nawasilisha.
 

MankaM

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
9,451
1,500
yan hiyo dawa ni sumu tosha na ukipiga na pombe ndio kabisaaaaaaaaaa umejimaliza
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom