Nitaoa sura mbaya wa kawaida sana kutokana na uchunguzi huu kwenye mtandao

Kupanga ni kuchagua....

Wewe oa tu unayoeona ankufaa kwa vigezo vyako.

Mke hana SI Unit
 
Kuepuka stress kama huna hela oa sura pasona mtaishi popote mtakula mpatacho . kama una mkwanja basi oa pisi kali uta injoy maisha na waifu wako.
 
H
Habarini za asubihi na shikamoni wakubwa na wadogo zangu hamjambo vijana wenzangu mambo vipi.

Mimi napenda sana kuchunguza chunguza mambo na kuwapima watu akili hasa hawa jinsia ya 'she'

Niliambiwa kwenye mtandao kuna wanawake wazuri sana na ni kweli ni wazuri na pia ni wasomi wazuri sana maana kingezo changu cha kwanza ilikuwa ni kuzungumza nao lugha ya waingereza au tunasema ngeli

Na nitangulize hili jambo kuwa nilikuwa kwenye uchunguzi na hakuna niliyeshiriki naye ngono msema kweli ni mpenzi wa Mungu,nilikuwa kwenye uchunguzi kujua ni kwa kiasi gani hii biashara inakua sana,kwa njia hii hawa akina dada si ndo wake zetu huko mbele na jinsi wanavyotumika jamani tutawapata wakiwa watamu huko mbeleni au ndo ile ladha itakuwa imeliwa na kuisha

Wengi wao ni wana chuo na ndo maana wanajua sana ngeli na siyo ile ya kuunganisha unganisha wanajua ile iliyoonyoka tena safiiiiii.

Pamoja na hayo yote hakuna mwanamke au binti hata moja alikuwa na sura.mbaya wote ni pisi kali kama tunavyosema vijana wa kileo.

Pamoja na hayo yote Mimi kama Mimi nitaoa wanawake wa kawaida sana kwanza hawapati usumbufu kwa wanaume maana wanaume wanapenda pisi kali pili hawa wa kawaida hawajachezewa sana na wanaume wavurugaji.

Wanaume tuwapende hawa wenye sura ya kawaida na uthibitisho unaonyesha ni wanawake wanaotulia sana kwenye ndoa na kuwa wavunilivu sana.

Ova
Hyo kawaida yako kwa mwenzako ni pisi kali,imajn nlichukua huyo unaemwita wa kawaida ila mwenyew aliniendesha kama gari bovu na kuanza kucheat huko,nkaona ya nini kujifia nkajitoa mazima
 
Baada ya wewe kuoa huyo unayemwita sura personal kuna wakulungwa watakaa kikao kabisa wakitafakari umempendea nini?

Kisha jibu litakuja moja tu kwamba mungu hakunyimi vyote labda mtoto anasumaku yake hapo chini kisha watajaribu theories zao na hapo ndipo utakapopata presha.
 
Back
Top Bottom