Nitaoa mwanamke asiye na kazi

Sijasoma yote mkuu!! Ila ukweli ni kwamba wenye nyumba wajifunze kudai vizuri wapangaji wao...maana sio fair kabisa kwa hilo mkuu
 
Mwanamke anayedinywa nje lazima a bad ili abadili tabia, hiki ndo kilimo changu sahihi na ma ex zangu wote walipobadili tabia nilipowadukua niligundua wamecheat nikapiga chini, angalia tabia zake tu!
 
Ubinafsi ndio unaotusumbua wanaume. Kama mkeo hukumkuta na bikra ni wazi huyo alishakuwa 'used'. Na hata akitumika na mtu mwingine bado hicho kibox hakitabadilika rangi. Tujifunze kuwapenda wanawake na udhaifu wao. Ukijitoa kwa mwanamke kimwili na roho utateseka sana. Mwanamke hachungwi, anajichunga mwenyewe kutokana jinsi wewe unavyoishi nae. Ukimpenda nae atakupenda. Ukimthamini nae anakuthamini. Mungu alituagiza tuishi nao kwa kutumia akili, maana anazijua akili zao zilivyo.
Wanaume wenye hekima na busara kama wewe ni wachache sana siku hizi. Wengi humu wanamtazamo hasi kuhusu mwanamke, wanatuona kama vile tusio na ufahamu au akili. Kuwa na mwanamke aliyeolewa ofisini kwako na ana chepuka haimaanishi wanawake wote ni vicheche, wala haimaanishi kuwa wanawake hawatakiwi kufanya kazi za ofisini!! Kwani kwa hata hao baadhi wanaochepuka wanachepuka na akina nani kama si baadhi ya wanaume waliooa pia?! Binadamu yeyote hachungwi awe mwanaume au mwanamke !!
 
Namimi nasema hiviii .....hata apewe helicopter as long as you're not Juan Miguel Sindrom and bill gates at the same time ...atachepukaa tuu!!
 
Hao wa kwenye miradi na wa nyumbani ndo hawadinywi? Vijana mmeharibikiwa nini kichwani?... Mwanamke malaya ni malaya tu, regardless anafanya nini.

Ukiangalia kwa mapana ni heri afanye kazi adinywe na wafanyakazi wenzie/ mabosi ambao baada ya kudinywa anapewa chochote kuliko adinywe na madereva wa bodaboda, wapemba magengeni au wauza nyama buchani. Hawa wanatumia hela ulizomuachia mkeo... Yani wanakudinyia mkeo kwa pesa zako.

Mwisho wa siku kama unataka ndoa yako idumu... mwamini mkeo na usimchunguze sana maana unaweza kudedi kwa presha kwa kushindwa kuchukua hatua au ukaozea jela kwa kuchukua hatua za kipuuzi

BABU nimemaliza narudi kitandani
mkuu sikuwa na point hiyo, then unamaanisha kuna sample ya wanaume wakikudinyia mkeo kunakuwa na uafadhari?
 
Back
Top Bottom