Nitaoa mwanamke asiye na kazi

dokolombwike

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
373
615
Ukitaka ndoa yako idumu ni muhim kuoa mwanamke ambaye atashinda nyumbani na kuhudumia familia,kwasababu hata akiwa na kazi hela zake hutaziona,sasa atakuwa anatumia hiyo kazi kugegedwa wakati hata faida ya kaz yake haipo, ataniheshim sababu atajua mi ndo kila kitu kwake,sasa yeye nae anapata hela halafu unataka heshima shame on you, atakudharau sana baada ya kumezeshwa sum na vijamaa vivaa jinsi zenye viraka huko oficn kwao,mfano labda kijamaa kina kigari cha mkopo,kitampa lifti mke wako na kitakuwa kinamuuliza maswali ya kichokoz mke wako,kinaweza kikamwambia kwa uzuri ulionao halafu Mme wako hajakununulia gari huyo mwanaume wako hayupo serious tiar ujue ashapanda mbegu kwenye kichwa cha mke wako ambayo itakuwa inaota taratibu,utadharaurika kwenye ukoo wake sababu wanajua mtoto wao nae anayo kazi,sasa mfano wewe umewahi kurudi toka kazini halafu mke wako hajarudi,utamsubiri arudi ndo aje apike lazima umpike chakula kingi ili nayeye aje kula,ndo hapo ile mbegu unapoipanda na kuanza kuota taratibu, mwanamke ili amuhudumie vizur mwanaume lazima ashinde nyumbani na kufanya miradi ya nyumbani kama ufugaji n.k, ukirudi atakupokea,atakutayarishia maji ya kuoga,utakuta msosi kapika,utagegeda mda wote unaotaka hutasikia akisema nimechoka,ila akitoka kazini akisema amechoka atasingizia ni kazi hata kama alikuwa ananyonya dick ya jamaa oficn,na unajua baada ya kunyonya diki nini kinafuata,tena bora mke wako apigiwe guest huko oficin wanapigwa vibaya sana kutokana na mazingira hivyo atashikishwa meza,...mwenye sikio na asikie usibishe tu sababu wewe umeoa anaefanya kazi,lazima tusaidie jamiii.
 
mimi nina kichwa kigumu sana mkuu lazma mke wangu nitamtaftie mradi japo kiukweli sitaki awe mfanyakazi maana huku ofisini hawa wanaojiita wameolewa wanavyodinywa ni balaa, siungi mkono mke kuwa wa kupika, kula na kalala afunguliwe miradi na mwanamume ambayo ataweza kumcontrol ila kiukweli kwa wafanyakazi wa kike wanaojimudu kipato na wameolewa wachache sana wanaoheshimu ndoa zao
 
Hata akikaa nyumbani kama akiamua kufanya lolote anafanya tu mimi tangia niko mdogo nimeona haya mabo yanafanyika wengi wanakamatwa ugoni

Wengine walipitia mke wa jamaa aliyekuwa na Ngoma na alikuwa Mama wa Nyumbani yule jamaa akafa na wao wa kafa ilikuwa miaka ya 1990 sembuse leo

Wewe ukitaka mwanamke muombe Mungu akupe mwanamke mwaminifu tu

Acha kujidanganya akikao nyumbani ndio hapitiwi wangapi wapo kitaa na wanaliwa tu
Tena tujaa tukiona umeoa ndio tunaanza kujisogeza sasa kwa mke wako
Ila kama hujaoa wala tukimuona mwanamke hatuna habari naye uwa sasa uone

Binadamu wanasumbuliwa na Wivu Wivu tu

Pia huwezi kumzia mwanamke asiliwe ni akili yake tu na jinsi unavyoishi naye
 
Ubinafsi ndio unaotusumbua wanaume. Kama mkeo hukumkuta na bikra ni wazi huyo alishakuwa 'used'. Na hata akitumika na mtu mwingine bado hicho kibox hakitabadilika rangi. Tujifunze kuwapenda wanawake na udhaifu wao. Ukijitoa kwa mwanamke kimwili na roho utateseka sana. Mwanamke hachungwi, anajichunga mwenyewe kutokana jinsi wewe unavyoishi nae. Ukimpenda nae atakupenda. Ukimthamini nae anakuthamini. Mungu alituagiza tuishi nao kwa kutumia akili, maana anazijua akili zao zilivyo.
 
mimi nina kichwa kigumu sana mkuu lazma mke wangu nitamtaftie mradi japo kiukweli sitaki awe mfanyakazi maana huku ofisini hawa wanaojiita wameolewa wanavyodinywa ni balaa, siungi mkono mke kuwa wa kupika, kula na kalala afunguliwe miradi na mwanamume ambayo ataweza kumcontrol ila kiukweli kwa wafanyakazi wa kike wanaojimudu kipato na wameolewa wachache sana wanaoheshimu ndoa zao
Hao wa kwenye miradi na wa nyumbani ndo hawadinywi? Vijana mmeharibikiwa nini kichwani?... Mwanamke malaya ni malaya tu, regardless anafanya nini.

Ukiangalia kwa mapana ni heri afanye kazi adinywe na wafanyakazi wenzie/ mabosi ambao baada ya kudinywa anapewa chochote kuliko adinywe na madereva wa bodaboda, wapemba magengeni au wauza nyama buchani. Hawa wanatumia hela ulizomuachia mkeo... Yani wanakudinyia mkeo kwa pesa zako.

Mwisho wa siku kama unataka ndoa yako idumu... mwamini mkeo na usimchunguze sana maana unaweza kudedi kwa presha kwa kushindwa kuchukua hatua au ukaozea jela kwa kuchukua hatua za kipuuzi

BABU nimemaliza narudi kitandani
 
ila akitoka kazini akisema amechoka atasingizia ni kazi hata kama alikuwa ananyonya dick ya jamaa oficn,na unajua baada ya kunyonya diki nini kinafuata,tena bora mke wako apigiwe guest huko oficin wanapigwa vibaya sana kutokana na mazingira hivyo atashikishwa meza,..

Ukitaka ndoa yako idumu ni muhim kuoa mwanamke ambaye atashinda nyumbani na kuhudumia familia,kwasababu hata akiwa na kazi hela zake hutaziona,sasa atakuwa anatumia hiyo kazi kugegedwa wakati hata faida ya kaz yake haipo, ataniheshim sababu atajua mi ndo kila kitu kwake,sasa yeye nae anapata hela halafu unataka heshima shame on you, atakudharau sana baada ya kumezeshwa sum na vijamaa vivaa jinsi zenye viraka huko oficn kwao,mfano labda kijamaa kina kigari cha mkopo,kitampa lifti mke wako na kitakuwa kinamuuliza maswali ya kichokoz mke wako,kinaweza kikamwambia kwa uzuri ulionao halafu Mme wako hajakununulia gari huyo mwanaume wako hayupo serious tiar ujue ashapanda mbegu kwenye kichwa cha mke wako ambayo itakuwa inaota taratibu,utadharaurika kwenye ukoo wake sababu wanajua mtoto wao nae anayo kazi,sasa mfano wewe umewahi kurudi toka kazini halafu mke wako hajarudi,utamsubiri arudi ndo aje apike lazima umpike chakula kingi ili nayeye aje kula,ndo hapo ile mbegu unapoipanda na kuanza kuota taratibu, mwanamke ili amuhudumie vizur mwanaume lazima ashinde nyumbani na kufanya miradi ya nyumbani kama ufugaji n.k, ukirudi atakupokea,atakutayarishia maji ya kuoga,utakuta msosi kapika,utagegeda mda wote unaotaka hutasikia akisema nimechoka,ila akitoka kazini akisema amechoka atasingizia ni kazi hata kama alikuwa ananyonya dick ya jamaa oficn,na unajua baada ya kunyonya diki nini kinafuata,tena bora mke wako apigiwe guest huko oficin wanapigwa vibaya sana kutokana na mazingira hivyo atashikishwa meza,...mwenye sikio na asikie usibishe tu sababu wewe umeoa anaefanya kazi,lazima tusaidie jamiii.
Tena hao wanaokaa mama wa nyumbani ndo wanaongozwa kugegedwa sababu anajua ratiba yako ukitoka asubuhi kurudi jioni Mchana anaenda kwa bwana wake ukirudi unamkuta kesharudi
 
Wanawake wote pasua kichwa tu, Awe na kazi asiwe na kazi wote ni wale wale.
Kizazi cha sasa cha wanawake hakijui maana ya ndoa.
 
Sio kwamba mwanamke anaekaa nyumban hadinywi ila tunasema huyu anaefanya kazi ni kama umeshamruhusu adinywe,yaan hakuna ugum wowote,yaan hata hawazi,
Uko sahihi nibora akae nyumbani ,fungua kamradi hata wa cherehani asimamie ila mda wote awepo home hapo sawa, lakini eti asubuhi watoka nae anatoka ndugu imekula kwako.
 
Back
Top Bottom