Nitaoa mwanamke asiye na kazi

Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
59,960
Points
2,000
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
59,960 2,000
mkuu sikuwa na point hiyo, then unamaanisha kuna sample ya wanaume wakikudinyia mkeo kunakuwa na uafadhari?
Yeah... maadam sijaoa bikira na maadam binadamu hachungiki... basi kama anadinywa (kama mimi navyodinya) basi adinywe na wastaabu kama mi navyodinya wastaarabu... Ili mradi tu nisijue kama mimi navyojitahidi mpaka leo hajawahi kujua
 
Witmak255

Witmak255

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2019
Messages
2,416
Points
2,000
Witmak255

Witmak255

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2019
2,416 2,000

hahahhah we jamaa pimbi kweli hahaha
 
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
59,960
Points
2,000
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
59,960 2,000
hahahhah we jamaa pimbi kweli hahaha
Kiongozi ni afadhali usikie mkeo anadinywa na Mohamed Dewji kuliko usikie anamegwa na dereva wa bodaboda... wale wasenge wanadinya afu wanapewa hela ulizomwachia mkeo awatengenezee wanao chakula bora... Imagine hela za jasho lako kinapewa kibwege flani afu wanao wanalishwa matembele...
 
Witmak255

Witmak255

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2019
Messages
2,416
Points
2,000
Witmak255

Witmak255

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2019
2,416 2,000
Kiongozi ni afadhali usikie mkeo anadinywa na Mohamed Dewji kuliko usikie anamegwa na dereva wa bodaboda... wale wasenge wanadinya afu wanapewa hela ulizomwachia mkeo awatengenezee wanao chakula bora... Imagine hela za jasho lako kinapewa kibwege flani afu wanao wanalishwa matembele...
Haya mambo ni magumu sana mkuu, sioni uafadhari
 
James88

James88

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Messages
1,301
Points
2,000
James88

James88

JF-Expert Member
Joined May 14, 2017
1,301 2,000
Ukitaka ndoa yako idumu ni muhim kuoa mwanamke ambaye atashinda nyumbani na kuhudumia familia,kwasababu hata akiwa na kazi hela zake hutaziona,sasa atakuwa anatumia hiyo kazi kugegedwa wakati hata faida ya kaz yake haipo, ataniheshim sababu atajua mi ndo kila kitu kwake,sasa yeye nae anapata hela halafu unataka heshima shame on you, atakudharau sana baada ya kumezeshwa sum na vijamaa vivaa jinsi zenye viraka huko oficn kwao,mfano labda kijamaa kina kigari cha mkopo,kitampa lifti mke wako na kitakuwa kinamuuliza maswali ya kichokoz mke wako,kinaweza kikamwambia kwa uzuri ulionao halafu Mme wako hajakununulia gari huyo mwanaume wako hayupo serious tiar ujue ashapanda mbegu kwenye kichwa cha mke wako ambayo itakuwa inaota taratibu,utadharaurika kwenye ukoo wake sababu wanajua mtoto wao nae anayo kazi,sasa mfano wewe umewahi kurudi toka kazini halafu mke wako hajarudi,utamsubiri arudi ndo aje apike lazima umpike chakula kingi ili nayeye aje kula,ndo hapo ile mbegu unapoipanda na kuanza kuota taratibu, mwanamke ili amuhudumie vizur mwanaume lazima ashinde nyumbani na kufanya miradi ya nyumbani kama ufugaji n.k, ukirudi atakupokea,atakutayarishia maji ya kuoga,utakuta msosi kapika,utagegeda mda wote unaotaka hutasikia akisema nimechoka,ila akitoka kazini akisema amechoka atasingizia ni kazi hata kama alikuwa ananyonya dick ya jamaa oficn,na unajua baada ya kunyonya diki nini kinafuata,tena bora mke wako apigiwe guest huko oficin wanapigwa vibaya sana kutokana na mazingira hivyo atashikishwa meza,...mwenye sikio na asikie usibishe tu sababu wewe umeoa anaefanya kazi,lazima tusaidie jamiii.
Siku ukifa wanao wakawe ombaomba au wakanyanyaswe na baba wa kambo. Je hicho ndio unakitaka?
 
M

Miss Madeko

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Messages
3,178
Points
2,000
M

Miss Madeko

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2014
3,178 2,000
Mimi ni mwanamke kabisa.....

Nikupe pole wewe unaesema kwamba mwanamke akifanya kazi atagegedwa ningekuelewa ungesema anachoka sana hivyo ni ngumu kukuhudia ipasavyo.

Swala la mgegedo kwanza jua kwamba Mangi wa duka, genge na bucha wote pale ana mtu wake hivyo akienda kuhemea chakula ndio fursa yake kuu.........
 
F

fred1149

Senior Member
Joined
May 30, 2016
Messages
181
Points
250
F

fred1149

Senior Member
Joined May 30, 2016
181 250
Ukitaka ndoa yako idumu ni muhim kuoa mwanamke ambaye atashinda nyumbani na kuhudumia familia,kwasababu hata akiwa na kazi hela zake hutaziona,sasa atakuwa anatumia hiyo kazi kugegedwa wakati hata faida ya kaz yake haipo, ataniheshim sababu atajua mi ndo kila kitu kwake,sasa yeye nae anapata hela halafu unataka heshima shame on you, atakudharau sana baada ya kumezeshwa sum na vijamaa vivaa jinsi zenye viraka huko oficn kwao,mfano labda kijamaa kina kigari cha mkopo,kitampa lifti mke wako na kitakuwa kinamuuliza maswali ya kichokoz mke wako,kinaweza kikamwambia kwa uzuri ulionao halafu Mme wako hajakununulia gari huyo mwanaume wako hayupo serious tiar ujue ashapanda mbegu kwenye kichwa cha mke wako ambayo itakuwa inaota taratibu,utadharaurika kwenye ukoo wake sababu wanajua mtoto wao nae anayo kazi,sasa mfano wewe umewahi kurudi toka kazini halafu mke wako hajarudi,utamsubiri arudi ndo aje apike lazima umpike chakula kingi ili nayeye aje kula,ndo hapo ile mbegu unapoipanda na kuanza kuota taratibu, mwanamke ili amuhudumie vizur mwanaume lazima ashinde nyumbani na kufanya miradi ya nyumbani kama ufugaji n.k, ukirudi atakupokea,atakutayarishia maji ya kuoga,utakuta msosi kapika,utagegeda mda wote unaotaka hutasikia akisema nimechoka,ila akitoka kazini akisema amechoka atasingizia ni kazi hata kama alikuwa ananyonya dick ya jamaa oficn,na unajua baada ya kunyonya diki nini kinafuata,tena bora mke wako apigiwe guest huko oficin wanapigwa vibaya sana kutokana na mazingira hivyo atashikishwa meza,...mwenye sikio na asikie usibishe tu sababu wewe umeoa anaefanya kazi,lazima tusaidie jamiii.
Kuna mambo mengine ukisikia unajihisi kichefu chefu maana mtu anataka kuingia kwenye ndoa na kitu chake kichwani kwamba wanawake wako hivi na wengine wako vile, tena kwa negative thinking na matokeo yake badala ya kumshape unavyopenda kuishi nae, wewe utakuwa unapima tabia yake na makosa yake na kisha kuweza kutumia Akili yako mbovu ulioingia nayo kwenye ndoa, ukichanganya na upofu wa kutokujua ndoa ni nini basi hasira yako na mengineyo unachanganya na kisha kutoa hukumu. Kwa mantiki hii ndoa huiwez brother. Ila ndoa ina mambo yafuatayo :-
1: chukua Muda mrefu kumchunguza mwanamke na kujua kama mnaendana au la. Suala la kupewa style nyingi za ngono au kungonoka kila siku sio kigezo cha ndoa. Ukikaa na mwanamke walau miaka 4 kabla ya kumuoa mnaweza kuwa na kitu flani in common.
2: maisha yako yawe ya kawaida na si kujikweza akija demu wako, mwisho wa siku akijua kuwa ulikuwa unakodi magari kumtoa out sehemu zenye hela, umekwisha. Hata ukijifanya kuwa wewe una hela kwa mwanamke ni kosa sana.
3: oa mwanamke ambae hana majivuno, asiependa pesa, wala kuweka ngono mbele. Hata wewe pia maana kuna wengine wanaume wanasema akija demu basi anataka kupiga bao 5 kwa siku, my friend, ukioa hayo yanaisha, mwisho wa siku ni bao moja tu tena kwa siku kadhaa, hata baada ya siku 4-5. Kama ulimzoesha mwanamke hivyo basi utasaidiwa. Kadri umri na kugonga sana kunapunguza shughuli hy ya mambo yetu. Kila kitu kina Muda wake.
4: angalia mwanamke alikuwa anafanya nini kabla na anawez kujishughulisha na nini na uweze kumsapoti maana zipo siku unaweza kufukuzwa kazi, mambo yakabana sana, hata kuingia majaribuni na ukashikiliwa hata siku 7 polisi, kama mke hana cha kufanya na ulimuachia buku 5, si ndo mwanzo wa kugongwa ili apate mahitaji yake?.
5: usioe mke kisa ni mzuri, uzuri unaweza kuisha au akawa anatumia mkorogo.
 
Lizarazu

Lizarazu

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Messages
4,435
Points
2,000
Lizarazu

Lizarazu

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2015
4,435 2,000
ngoja siku ukifa ndo atajua familia inaishije..
Huwezi fanya mtu mzima akakaa nyumbani for the rest of her life...atatoka tu

Uaminifu/Usaliti ni maamuzi...iwe mwanamke ama mwanaume..mazingira ni 'catalyst' tu
kwanini aanze kufa yeye na sio huyo mwanamke?

ila mentality za wanawake wa kibongo bhana ziko so bizarre!
 
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Messages
5,953
Points
2,000
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2016
5,953 2,000

Akifa mke haina shida kipato kipo mume atamove on vizuri tu
Ila akifa mume ndo mziki..story za wajane magolikipa kutaabika wote tunazijua
 
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Messages
5,953
Points
2,000
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2016
5,953 2,000
Kuna mambo mengine ukisikia unajihisi kichefu chefu maana mtu anataka kuingia kwenye ndoa na kitu chake kichwani kwamba wanawake wako hivi na wengine wako vile, tena kwa negative thinking na matokeo yake badala ya kumshape unavyopenda kuishi nae, wewe utakuwa unapima tabia yake na makosa yake na kisha kuweza kutumia Akili yako mbovu ulioingia nayo kwenye ndoa, ukichanganya na upofu wa kutokujua ndoa ni nini basi hasira yako na mengineyo unachanganya na kisha kutoa hukumu. Kwa mantiki hii ndoa huiwez brother. Ila ndoa ina mambo yafuatayo :-
1: chukua Muda mrefu kumchunguza mwanamke na kujua kama mnaendana au la. Suala la kupewa style nyingi za ngono au kungonoka kila siku sio kigezo cha ndoa. Ukikaa na mwanamke walau miaka 4 kabla ya kumuoa mnaweza kuwa na kitu flani in common.
2: maisha yako yawe ya kawaida na si kujikweza akija demu wako, mwisho wa siku akijua kuwa ulikuwa unakodi magari kumtoa out sehemu zenye hela, umekwisha. Hata ukijifanya kuwa wewe una hela kwa mwanamke ni kosa sana.
3: oa mwanamke ambae hana majivuno, asiependa pesa, wala kuweka ngono mbele. Hata wewe pia maana kuna wengine wanaume wanasema akija demu basi anataka kupiga bao 5 kwa siku, my friend, ukioa hayo yanaisha, mwisho wa siku ni bao moja tu tena kwa siku kadhaa, hata baada ya siku 4-5. Kama ulimzoesha mwanamke hivyo basi utasaidiwa. Kadri umri na kugonga sana kunapunguza shughuli hy ya mambo yetu. Kila kitu kina Muda wake.
4: angalia mwanamke alikuwa anafanya nini kabla na anawez kujishughulisha na nini na uweze kumsapoti maana zipo siku unaweza kufukuzwa kazi, mambo yakabana sana, hata kuingia majaribuni na ukashikiliwa hata siku 7 polisi, kama mke hana cha kufanya na ulimuachia buku 5, si ndo mwanzo wa kugongwa ili apate mahitaji yake?.
5: usioe mke kisa ni mzuri, uzuri unaweza kuisha au akawa anatumia mkorogo.
Umewashauri vizuri
 
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Messages
5,953
Points
2,000
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2016
5,953 2,000
Kwani hakuna wajane waliokuwa magoli kipa enzi za uhai wa waume zao sasa hivi familia zao zinaishi vizuri?
Hakuna...labda upande wa mwanamke wawe na uwezo wamsaidie
Waishi vizuri kwa kipato kipi?.
Wengi huwa hawajui kutafuta ..kazi kupata pia ni issue ht km ana elimu
Mix ndugu wamnyanganye mali
Lazma watoto warudi kayumba na arudi kijijini
Kukaanga maandazi unajua kipato chake ni sh elf 10 kwa siku/laki 3 kwa mwezi..u can imagine
 
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
59,960
Points
2,000
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
59,960 2,000
Hahahah si unampitia tu kamanda, au mambo ya ujentromeni hufanyagi 🤣🤣🤣
Hayo mambo ya ujentoman ya kupitiana kazini nimemaachia wenye mioyo migumu kama jiwe. Ujentoman wangu mwenye moyo laini kama pamba... nimefanya tu busara ya kumzawadia kaPasso apambane na hali yake... Sipendagi ujinga mimi
 
Forum statistics

Threads 1,324,982
Members 508,911
Posts 32,179,470
Top