Nitamjuaje mwanaume aliyenipakia mkongo?

Habari wakuu, mbali na kuchelewa kumaliza, zipi Ni dalili nyingine za mwanaume aliyepaka mkongo?

Sijajua kama alikuwa ananikomesha au la, lisaa limoja si mchezo, unatoka magoti hayana na nguvu zimeisha,.

Muda ninaoupenda angalau dk30
Ficha kichwa cha uume kwa nguvu kidogo ukiona kimya ujue kapaka maana vumbi ukipaka uume unakuwa na ganzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa dk 3 yeye atakojoa???

Huna nguvu za kiume hacha kujifariji
Hujui ulisemalo. Ndio maana unashauriwa umuandae mwenzi wako. Afu ujue kuwa hizo dk 3 unapiga pampu zaidi ya 100 we dk 3 unaona ndogo katika cases fulani lkn ukiziweka katika ule msuguano ni nyingi hizo. Jaribu siku moja wakati unasex weka playlist yako nyimbo hata 10 hivi zenye angalau dk 3 afu uone kama utafika hata nusu ya hizo nyimbo kabla hujakojoa. Tatizo lenu huwa mnawatisha sana vijana, mpaka wanavamia vumbi la kongo, mara viagra nk nk. Mchawi ni kumuandaa mwenzi wako tu. Hizo zingine ni drama na wapelekee watoto wenzako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom