Nitamjuaje kama kakeketwa?

ESPIRIT

JF-Expert Member
Jul 3, 2014
665
522
Wana Jf salaam sana,na baada ya salam je,hamjambo?

Mimi mpenzi wangu anatokea kanda ya watu wanaoamini sana kukeketa.

Sijawahi ku sex nae. Wasiwasi wangu ni kwamba watu wa kule wanakeketwa sana, kwani hata mwenyewe ananipatiaga stori za marafiki zake walokeketwa. Swali ni Je? Nitajuaje kama kakeketwa?

Msaada
 
Sijamuuliza but anavopiga stor anasema yeye alikataaga..
 
Sijamuuliza but anavopiga stor anasema yeye alikataaga..najiuliza,mabinti wa kule wana uwezo huo wa kukataa? Coz anasema mamake pia alikuwa anapenda. Na wadogo zake huyu mpenz wangu wamekeketwa.
 
Hizo story means amekeketwa, anaanza kwa kuimplement idea kichwan kwako Siku ukigundua usipanic,
Ila usikonde ni watam sana proplem hawana clitorial stimulation means hafiki mapema mpaka uzame vzr na uwe na machine nene kusisimua kuta zake!
Kama una kibamia na maslea washapita sana, wewe pita tu endelea na maisha yako ila kama katulia atakufaa sana especially kama wewe sio mtu wa kutaka mchezo daily mara3
 
Ni rahisi sana. kama clito... imekeketwa inakuwa sio laini, anachelewa sana kufika kilele, kwa kawaida ni ngumu wakati wa kuingiza kutokana na kutokuwepo kilainishi cha kutosha, hizi ni dalili za mwanzo. kwa kweli huwezi kujua ukweli hadi u sex nae.
 
Back
Top Bottom