Uchaguzi 2020 Nitamchagua tena Dkt. Magufuli kwa sababu hizi...

Sep 8, 2020
67
133
Tuelewane vizuri hapa, tusilazimishane. Sisi tulioguswa na JPM tutamchagua tena Oktoba 28.

Tutamchagua JPM tena kwakuwa SABABU tunazo, NIA tunayo na UWEZO tunao; #SisiTumeamuaKumchaguaTenaJPM.

1. SISI Wananchi wa vijijini huku ndani ndani ambao hatukuwahi kuona balbu ya umeme miaka yote tangu Dunia iwepo tutamchagua tena JPM kwa kuwa sasa umeme umetufikia, tunabonyeza tu ukutani huooo, tena kwa bei nafuu ya shilingi 19,000/=. Kumchagua JPM ni kuchagua umeme vijijini, Tutamchagua tena!!

2. SISI Machinga wa Dar, Arusha, Mbeya, Mwanza na miji mingine mikubwa tuliokua tunafanya biashara ktk mazingira magumu kutwa tukikimbizana na migambo wa Jiji tutamchagua JPM kwa sababu amerasmisha biashara zetu kwa vitambulisho nafuu. Sasa tunafanya kazi kwa utulivu na tunaheshimika, kumchagua JPM ni kuchagua UTULIVU wa biashara zetu, Tutamchagua tena!!

3. SISI Mama'Ntilie tuliokuwa tunafanya kazi kwa taabu na maumivu makali. Hasara za kila siku kumwagiwa vyakula na migambo wa jiji, tumekubaliana kumchagua JPM kwa sababu ameleta heshima ktk biashara zetu. Tunaheshimika, tunauza, tunapata faida, kumchagua JPM ni kuchagua FAIDA, Tutamchagua tena CHUMA!!

4. SISI Mama wajawazito na wenye watoto wachanga tuliokuwa tunasafiri siku nzima kufuata kliniki tutamchagua JPM kwa sababu ameboresha huduma za afya kwa kutusogezea vituo vya afya kila kata. Sasa tunahudhuria kliniki kwa umbari mfupi zaidi tofauti na awali, watoto chini ya miaka mitano wanatibiwa bure hivyo kumchagua JPM ni kuchagua MAISHA. Tuacheni tumchague tena jamani ametupoza!!

5. SISI wachimbaji wadogo wadogo wa madini ambao tulinyanyasika miaka nenda rudi kupata maeneo ya uchimbaji na leseni tutamchagua tena JPM kwa sababu ktk utawala wake tumerasmishwa na kupatiwa leseni. Sasa tunatambuliwa, tumepewa maeneo yetu wenyewe, tunachimba madini na kupata mali. Kumchagua JPM ni kuchagua MALI. Tumesema tutamchagua tena huyu MWAMBA!!

6. SISI Wafanyabiashara wakubwa tuliokua tunakerwa na utitiri wa kodi na makadilio ya juu tutamchagua tena JPM kwa sababu amesikiliza ushauri wetu, amefuta kodi korofi, ametoa fursa ya mda wa matazamio baada ya kuanzishwa kwa biashara mpya. Ktk muda huu hatulipi kodi, tunafanya biashara hadi tupate faida kisha tulipe Kodi sawa na kilichopatikana.
Kumchagua JPM ni kuchagua FAIDA, Tutamchagua tena!!

7. SISI wakulima wa mashambani tuliokua tunahangaika kupata ruzuku ya Serikali na soko finyu tutamchagua tena JPM kwa sababu katika uongozi wake ruzuku inatoka kwa wakati na inafika kwa wakati, heshima ya kilimo imeongezeka nchini, soko limepanuka kwa msaada wa Serikali hivyo kumchagua JPM ni kuchagua kilimo chenye MANUFAA. Tutamchagua tena Mkulima mwenzetu!!

8. SISI watumishi wa Serikali tuliokuwa tunapokea mshahara wa mwezi ktk mwezi unaofuata huku malimbikizo yakiwa hayalipwi tutamchagua tena JPM kwa sababu ktk utawala wake tunapokea mishahara kabla ya mwisho wa mwezi na malimbikizo yanalipwa. Yaani ikifika tarehe 23 tu ya kila kwezi tayari IMOO hivyo kumchagua JPM ni kuchagua MSHAHARA kwa wakati, tutamchagua tena MTUMISHI mwenzetu!

9. SISI vijana wa vyuo vikuu vyote tuliokua tunachelewa kupata Boom na sasa tunapata kwa wakati tena bila usumbufu tutamchagua tena JPM kwani kumchagua yeye ni kuchagua BOOM kwa wakati. Hatutaki stress, tutamchagua JPM tena!!

10. SISI Wananzego wote tunaonufaika na barabara za juu na chini, meli za baharini na ziwani, usafiri wa reli na angani, tutamchagua tena JPM kwa sababu amewezesha safari zote kuwa rahisi, maisha kuwa salama kwa kuboresha miundombinu ya juu ya chini. Kumchagua yeye ni kuchagua SAFARI RAHISI NA SALAMA, Tutamchagua tena JPM maisha yaendelee!!
#MitanoTenaKwaCHUMA.
 
Vitisho vyao hatukatishi tamaa. Eti hatupati maji tusipochagua CCM! Katika miaka 60 za uhuru wa Tanganyika hawajawahi kutupa maji. Eti leo 2020 wanatutishia maji! Kichaa mkubwa...
Tena kwa kura za wivu mkubwa
 
Watanzania tumeshuhudia maiti za watanzania wenzetu zikiokotwa kwenye fukwe zikiwa zimefungwa mawe na vyuma na nyingine zikiwa kwenye viroba.

Watanzania, tumeshuhudia wenzetu wakitekwa na kupotezwa, wafanyabiashra wakifilisiwa,.

Tumeona ndugu na jamaa zetu wakifunguliwa makesi makubwa na yasiyo na dhamana.

Huyu mtu hatufai kabisa.
 
Ni kweli kabisa, tutamchagua Tena Magufuli ili wafanyakazi wanaofukuzwa kazi au mikataba kuishi wakose mafao yao.

FAO la kujitoa
 
Kila nikiangalia, mahesabu yangu yananiambia kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 MAGUFULI anapigwa asubuhi na mapema tu

1. Kura za Kaskazini zitamkataa vibaya mno
2. Kura za kusini zitamkataa katakata
3. Kura za Waislamu ndiyo kabisaa maana teuzi zake nyingi wamezilalamikia
4.Kura za mji mikubwa kama Mbeya na Dar es salaam atazisikia katika bomba
5.Kura za Singida kwa Tundu Lissu na Nyalandu hizo asahau
6.Kura za wafanyakazi ambao hajawaongezea nyongeza za mishahara atazisikia katika bomba
7. Kura za Vijana wasio na ajira, Vijana wa vyuoni wanamwangalia wanasema hiiiiiii etc
8.Kura za Watanzania walioko kwenye social media wengi hawamkubali
9. Iringa atapigwa asubuhi na mapema tu
10.Kagera ndiyo kabisa wanasubiri wapitishe hukumu
11. Kule Kigoma kwa Mwami Zitto ndo asahau kabisa
12. Wafanyabiashara wanaosumbuliwa kodi na TRA wamenyuti hawana maneno mengi wanamsubiri kwa hamu wamsulubu
13. Wenye Magari waliogeuzwa ng'ombe wa kukamuliwa pesa na Matrafiki hawa wanamgojea kwa hamu kubwa wamuonyeshe kilichomnyoa kanga manyoya
 
Back
Top Bottom