Nitamchagua Kikwete

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,722
21,775
Pamoja na makosa yanayotokea serikalini
kwakuangalia usemi wa hawa wenzetu wapinzani leo hii mrema
akiongea kama msemaji wa CCM,sharrif ahmad akilazimisha
karume kupewa miaka 2 siku za mwisho bila kujali mauawaji
ya watu 27 yaliyofanywa...nimeona ni bora niendelee kumpa huyu
kikwete aata kama ameiba ni bora tumpe yule ambae ameshakula kuliko hawa mafisadi wa siasa wanaoendaa kuanza kuiba,..unajua ukishaiba na ukapata tena uwezi iba kama mwanzoni na ni bora umpe yule alieanza kula kuliko hawa wenye njaa zao na kuamua kuwa wasemaji wa chama tawala kwa njaa zao
embu wewe unaesoma jiunge nami kumpa DK,USTAADHI JAKAYA MRISHO KIKWETE......
 
Kaka mi natokea kwa gwajima ufufuo na uzima
tusubiri october
 
Kwa sababu wewe priority yako siyo maendeleo ya Taifa letu, ndio maana hata kama unaona mafyongo yanayofanywa na serikali ya CCM utaendelea kuwachagua tuu!..sijui nani unataka akuunge mkono kwa hilo!
 
Pamoja na makosa yanayotokea serikalini
.......nimeona ni bora niendelee kumpa huyu........
kikwete aata kama ameiba...........embu wewe unaesoma jiunge nami kumpa DK,USTAADHI JAKAYA MRISHO KIKWETE......
Mama nitakuwa wa mwisho kukuunga mkono hata kama niko mbali na uwezekano wa kurudi huko nyumbani wakati wa kupiga kura ni mdogo bado naendelea kusema hawa jamaa wa utawalani hawana lolote jipya na nitaendelea kuwapinga kwa nguvu zote. Tatizo la hawa wapinzani wengi wao bado ni wanachama wa ccm kwa siri kama huamini nambie kama ulishawaki kusikia kuwa mrema alirudisha kadi ya ccm wakati anatoka au sheriff. Bado wanazo kadi za ccm ndo maana wanawatetea. Jamani we have decided to take them out, no turning back, no turning back!
 
kama huamini nambie kama ulishawaki kusikia kuwa mrema alirudisha kadi ya ccm wakati anatoka au sheriff.

UMENIKUNA PAZURI
 
kama huamini nambie kama ulishawaki kusikia kuwa mrema alirudisha kadi ya ccm wakati anatoka au sheriff.

UMENIKUNA PAZURI
Ndo maana nkasema kimsingi hao si wapinzani wa ccm bali matawi ya ccm, tutakuwa pamoja na wapinzani halisi ndo tutaungana nao!
 
Mama mia, kuna mahala unakosea, unataka kuniambia house girl aliyetembea na mumeo ni bora kuliko kumfukuza na kuleta mpya kwa madai kwamba huyo mpya kwa vile hajamuonja mmeo basi atataka kumuonja?
Sisi hatutaki jini litujualo, tunataka tunalojuana nalo. Umenisoma?
 
Mama Mia mimi sitakuunga mkono hata kidogo kwa sababu mbili. Kwani viongozi wa upinzani ni Mrema tu Hamad si wapo wengine wengi tu kutoka vyama vingine. Mrema na Hamad wana yao lakini sisi nasi tuna yetu tutazidi kusonga mbele mpaka kieleweke.
Kikwete ameshindwa kazi kwa nini tuendelee kumpa kazi wapo watu wenye sifa na uwezo wa kuliongoza taifa hili kutotoa pale tulipo sio lazima wawe ni watu ambao tunawasikia kila siku kwenye vyombo vya habari. Mrema na Hamad muda wao kisiasa kwishne! Mama Mia usife moyo tutafika lakini si kwa kuwachagua hawa viongozi wasio na huruma na taifa letu kazi safari tuuuuuu kila kukicha na bla bla nyingi tu.Kwa uweza wa mungu tutashinda.
 
hakuna chama inaweza kuwangowa ccm
hata kama kikwete hatogombania tena akiwekwa ngombe basi atapata akura nyingi
 
Pamoja na makosa yanayotokea serikalini
kwakuangalia usemi wa hawa wenzetu wapinzani leo hii mrema
akiongea kama msemaji wa CCM,sharrif ahmad akilazimisha
karume kupewa miaka 2 siku za mwisho bila kujali mauawaji
ya watu 27 yaliyofanywa...nimeona ni bora niendelee kumpa huyu
kikwete aata kama ameiba ni bora tumpe yule ambae ameshakula kuliko hawa mafisadi wa siasa wanaoendaa kuanza kuiba,..unajua ukishaiba na ukapata tena uwezi iba kama mwanzoni na ni bora umpe yule alieanza kula kuliko hawa wenye njaa zao na kuamua kuwa wasemaji wa chama tawala kwa njaa zao
embu wewe unaesoma jiunge nami kumpa DK,USTAADHI JAKAYA MRISHO KIKWETE......

...kumbuka utabiri wa sheikh,mwaka huu hakuna uchaguzi hivyo nasita kuungana nawe.
 
sijaona alicholifanyia taifa kwa kipindi kinachoelekea kupita,kura yangu haipati
 
Pamoja na makosa yanayotokea serikalini
kwakuangalia usemi wa hawa wenzetu wapinzani leo hii mrema
akiongea kama msemaji wa CCM,sharrif ahmad akilazimisha
karume kupewa miaka 2 siku za mwisho bila kujali mauawaji
ya watu 27 yaliyofanywa...nimeona ni bora niendelee kumpa huyu
kikwete aata kama ameiba ni bora tumpe yule ambae ameshakula kuliko hawa mafisadi wa siasa wanaoendaa kuanza kuiba,..unajua ukishaiba na ukapata tena uwezi iba kama mwanzoni na ni bora umpe yule alieanza kula kuliko hawa wenye njaa zao na kuamua kuwa wasemaji wa chama tawala kwa njaa zao
embu wewe unaesoma jiunge nami kumpa DK,USTAADHI JAKAYA MRISHO KIKWETE......

Lakini jipya ni lipi hapa?
Kama mtu anayetarajiwa kutazama mambo na kuona njia ya kupata majawabu, anakuwa na fikra kaa hizi za kulinganisha baina ya nazi mbovu ili akaungie wali wa nazi wa sikukuuni, je kuna umuhimu hata wa kuingia gharama za kuandaa uchaguzi wenyewe na kuwapotezea watu muda wao wa kujitafutia rizki?
Sidhani.

La, tukienda mbele zaidi, ni wapi tueke matumaini ktk pool ya 'wanasiasa' tulio nao? Huenda kweli mleta thread ameonesha hali halisi ya depth na ukomo wa 'wanasiasa' tulonao. Lakini ni kweli hatuezi kuweka kando hii madness ya ku-recycle nazi mbovu hata kama twajua vimeoza? Tunaeza ikiwa sote tungeona mambo ktk hali halisi na kuchukua hatua. If and Only if.
 
Ndege ya Uchumi utabiri wa sheikh Yahya umeanza kutimia. Mmoja wa wana kongamano wa MNF pale Karimjee alimponda sana JK na akasema nchi ina ombwe la uongozi tumemzika recently. Na mazishi yake yalihudhuriwa na viongozi wa juu. Mwingine kakimbizwa Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu. Napata picha wengine wako katika foleni. Sina haja ya kufafanua. Mwenye akili ataelewa.
 
mimi simchagui kikwete, katu sifanyi hivyo

kaniudhi sana huyu tena sana narudia tena kaniudhi sana kipindi cha kwanza kajifunga sana, amekosa penalt wakati kipa hayuko golini, amenawa mpira ndani ya 18 zaid ya mara 7 katika mechi 2.

narudia kusema simchagui huyu. ameniboa sana tena sana

SIMCHAGUI NG'O!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom