Nitakuwa wa mwisho kuwaamini Zitto, Nape na Bashe

Mnafiki mwingine anafikiri tumesahau ile kauli yke khs kupigwa wapinzani eti nae leo mtetezi wa wanyonge
FB_IMG_1544509716037.jpeg
 
We hujasikia wenye koro-show kule Ntwara wanaulizwa mashamba!? Ni wenye akili tu ndio wameelewa hiyo tweet ya Bashe, vichwa maji lazima mnese kwanza. Katika wabunge wa ccm ninao waheshimu kwa michango yao ya maana then huyu jamaa ni No 1 kwangu. Jambo moja ambalo hua najiuliza sana ni hili, kwanini watu kama hawa hutuhumiwa sio Watanzania!? Ina maana Watanzania wote tuna akili kama za mleta UZI!? Najiuliza tu!
 
Na hapa umechapia pia, kurekebisha,sio kulekebisha
Huyo kwanza mchumia tumbo km wachumia tumbo wengine ndani ya ccm na njee ya ccm pili huyo ni mtanzania mwenye asili ya somalia...
 
Inawekana usemayo lkn huyo mwanasiasa msafi ndio bado atujapata Tanzania ss hao wapigaji wengine wanatafuta kiki kupitia shida zetu...
Mahakama yenyewe inafanya kazi kwa maamuzi ya magufuli,,,,##mtaishia gerezani##
 
Inawekana usemayo lkn huyo mwanasiasa msafi ndio bado atujapata Tanzania ss hao wapigaji wengine wanatafuta kiki kupitia shida zetu...
Hii IPO Dunian kote ni hulka ya mwanadamu,,,lazma angalie maslah yake kwanza trust me,, hata Trump aliona kuna namna atagain that's why akajitosa pamoja na kua na Ukwasi wa kuridhisha,,,,Jambo LA muhimu tupate tu anaejua kula na kipofu,,,Kwa hao wengine na CCM wote including you upo sawa Ila kwa ZITTO ZUBERI KABWE LUYAGWA ,,I say BIG NO ,,,Big No
 
Wote wezi hamna hata moja anae weza kula na kipofu hapo tna huyo ZZT ndio mtu hatari mara 100 kuliko wezi wa ccm tafuta hotuba yke jiwe alivyoenda kigoma labda unaweza kunielewa kidogo...
 
Uliwahi kupinga usanii wa Magufuli maana naye ni Fisadi kama mafisadi wengine tu...
Sio kupiga tu msimamo wngu khs CCM ni hakuna mwana ccm yyote anae itakia mema nchi hii tna usinikumbushe nyumba zetu za serikali khs kile kivuko ndio usiseme kbs...
tapatalk_1542123640746.jpeg
 
Back
Top Bottom