Nitakuwa wa mwisho kuwaamini Zitto, Nape na Bashe

Rubawa

JF-Expert Member
Dec 25, 2015
2,055
3,239
Watanzania wenzangu kwenye vita hii ya kupiga dhuruma na unyanyasaji kwenye serikali hii sio kila mtu yupo upande wetu wengine tupo nao baada kukosa fursa za kupiga mie naomba niwe mtu wa mwisho kbs kumuamin au kuwaamin watu hawa Zitto Nape Bashe watu hawa waniache kwanza...
FB_IMG_1543869456246.jpeg
 
Mods msaada nmechapia juu hapo naomba unisaidie kulekebisha...
 
Watanzania wenzangu kwenye vita hii ya kupiga dhuruma na unyanyasaji kwenye serikali hii sio kila mtu yupo upande wetu wengine tupo nao baada kukosa fursa za kupiga mie naomba niwe mtu wa mwisho kbs kumuamin au kuwaamin watu hawa Zitto Nape Bashe watu hawa waniache kwanza...View attachment 955058
In politics there is no "permanent friend and no permanent enemy" but permanent intrest......zitto uko sawa sanaaa.
 
naomba niwe mtu wa mwisho kbs kumuamin au kuwaamin watu hawa Zitto Nape Bashe

Mkuu as long as utakuja kuwaamini basi swala la position halina tija coz hakuna anaejua nani alikuwa wa kwanza kuwaamini so endelea tu na msimamo wako, sio mbaya
 
Zitto amelipigania sana taifa hili, hastahili kebehi
Amepigania sna tumbo lake Dada yngu ungemjua vzuri yule ana tofauti yyote na Nape km nape nae amelipigania sna taifa hili basi sawa...
 
Zito angekuwa anapigania tumbo leo hii angekuwa CCM na uwaziri ju, kwa taarifa yako ZZK angekuwa milionea kwa sasa kama angekuwa mchumia tumbo, mali anazomiliki hazilingani na bei kwa sasa CCM..
 
Kwani sio milionea ? Taratibu ww mafisadi sio ccm tu embu tafuta katiba ya chama chake isome vzuri ndio utajua huyo ZZT ni mtu aina mpigaji kuliko hata baadhi wezi waliopo ccm...
 
Tunamjua ZITO maisha yake ni yakawaida huwezi kumuita milionea anaishi maisha ya kawaida sana ambayo watanzania wengi mijini tunaishi...huo ndio ukweli haya mengine unaleta ni siasa tu..
 
Hata upande wa pili wanaishi maisha ya kawaida tu umesoma kwanza ila katiba ya chama. hlf kumiliki nyumba mbili masaki kipindi cha Waukae mwenzangu Mzee Wngu Jakaya Mrisho Khalifan Kikwete ni maisha ya kawaida ? Tusikubari kutumika huyo mpigaji km wengine
 
Nyumba mbili masaki umesikia au unushahidi kwa maana clear evidence..
Utajiri ni kama Mi
Hata upande wa pili wanaishi maisha ya kawaida tu umesoma kwanza ila katiba ya chama. hlf kumiliki nyumba mbili masaki kipindi cha Waukae mwenzangu Mzee Wngu Jakaya Mrisho Khalifan Kikwete ni maisha ya kawaida ? Tusikubari kutumika huyo mpigaji km wengine

Hilo la nyumba mbili masaki umeambiwa au unajua kwa clear evidence, utajiri ni kama Mimba huwezi kuuficha ukiwanao.. Hao wengine utajiri wao haujifichi inaonekana dhahiri bila kupepesa..
 
Back
Top Bottom