nitakuwa tayari kuihifadhi,kutunza na kuitetea katiba ya JMT WIMBO ULIOCHUJA. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nitakuwa tayari kuihifadhi,kutunza na kuitetea katiba ya JMT WIMBO ULIOCHUJA.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sanga malua, Aug 24, 2012.

 1. s

  sanga malua JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mara nyingi utasikia viongozi wakiapa kwa dini zao kuwa WATAIHIFADHI,WATAILINDA NA KUITETEA KATIBA ya Jamhuri ya muungano yaTANZANIA,Lakini ukifuatilia kwa makini walio wengi ni waongo na wamesha itendea unyama katiba yetu mara kadhaa.hivi viapo hivi huwa ni usanii?
   
 2. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Sijui huwa hakuna sheria ya kuwabana?!
   
Loading...