Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,604
Unakutana na sister du kwenye daladala, bank, cofee shop au popote pale baada ya kufahamiana wakati mnaagana unamuomba namba ya simu anakujibu ''nitakupa siku nyingine'', unamwambia siku nyingine tutaonana vipi anasema ''kama tulivyoonana leo'', ukimwambia si ungenipa leo ili kuonana hiyo siku nyingine iwe rahisi anajibu ''huwa sitoai namba yangu siku ya kwanza''........ Does it make sense? We tumeonana tu Kariakoo huko umekuja Dar kwa bahati mbaya kesho yake inabidi urudi kwenu Mtwara lakini nakuomba namba ya simu unaniambia kuwa huwezi kutoa namba yako ya simu mpaka siku nyingine unaakili wewe? Tutaonana vipi hiyo siku nyingine?