Nitakupa namba yangu siku nyingine

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,401
1,604
Unakutana na sister du kwenye daladala, bank, cofee shop au popote pale baada ya kufahamiana wakati mnaagana unamuomba namba ya simu anakujibu ''nitakupa siku nyingine'', unamwambia siku nyingine tutaonana vipi anasema ''kama tulivyoonana leo'', ukimwambia si ungenipa leo ili kuonana hiyo siku nyingine iwe rahisi anajibu ''huwa sitoai namba yangu siku ya kwanza''........ Does it make sense? We tumeonana tu Kariakoo huko umekuja Dar kwa bahati mbaya kesho yake inabidi urudi kwenu Mtwara lakini nakuomba namba ya simu unaniambia kuwa huwezi kutoa namba yako ya simu mpaka siku nyingine unaakili wewe? Tutaonana vipi hiyo siku nyingine?
 
Wewe unaitaka namba yake ya nini?...mind ur business as she mind her's ! Keep your self expensive! Siku nyingine usimwombe namba, muombe email, mpe yeye mwenyewe aandike na wakati anaandika unaweza kumwambia "kama hutajali unaweza kuandika na namba yya simu"...try it utaona anaandika mwenyewe bila kupenda....understand hawa viumbe !hawatabiriki kama jua la wakati wa winter
 
kwahyo inakuuma?? Kwan lazma upewe namba? Huenda amekuona hauna mvuto kwake halafu akikupa namba utaanza kumsumbua tu
 
^^
Akikupa utasema maharage ya mbeya, akunyime unasema wa Mtwara!
Make your own personality that will attract her to ask for your number
^^
 
Wewe unaitaka namba yake ya nini?...mind ur business as she mind her's ! Keep your self expensive! Siku nyingine usimwombe namba, muombe email, mpe yeye mwenyewe aandike na wakati anaandika unaweza kumwambia "kama hutajali unaweza kuandika na namba yya simu"...try it utaona anaandika mwenyewe bila kupenda....understand hawa viumbe !hawatabiriki kama jua la wakati wa winter

Email???????!!!hahaha haijawahi tokea asee..l
 
Umepigwa kibuti wewe kwa lugha ya kiutu uzima!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Unakutana na sister du kwenye daladala, bank, cofee shop au popote pale baada ya kufahamiana wakati mnaagana unamuomba namba ya simu anakujibu ''nitakupa siku nyingine'', unamwambia siku nyingine tutaonana vipi anasema ''kama tulivyoonana leo'', ukimwambia si ungenipa leo ili kuonana hiyo siku nyingine iwe rahisi anajibu ''huwa sitoai namba yangu siku ya kwanza''........ Does it make sense? We tumeonana tu Kariakoo huko umekuja Dar kwa bahati mbaya kesho yake inabidi urudi kwenu Mtwara lakini nakuomba namba ya simu unaniambia kuwa huwezi kutoa namba yako ya simu mpaka siku nyingine unaakili wewe? Tutaonana vipi hiyo siku nyingine?

you dont have to be a rocket scientist KUJUA KUWA HATAKI KUKUPA NAMBA YAKE.
 
Unakutana na sister du kwenye daladala, bank, cofee shop au popote pale baada ya kufahamiana wakati mnaagana unamuomba namba ya simu anakujibu ''nitakupa siku nyingine'', unamwambia siku nyingine tutaonana vipi anasema ''kama tulivyoonana leo'', ukimwambia si ungenipa leo ili kuonana hiyo siku nyingine iwe rahisi anajibu ''huwa sitoai namba yangu siku ya kwanza''........ Does it make sense? We tumeonana tu Kariakoo huko umekuja Dar kwa bahati mbaya kesho yake inabidi urudi kwenu Mtwara lakini nakuomba namba ya simu unaniambia kuwa huwezi kutoa namba yako ya simu mpaka siku nyingine unaakili wewe? Tutaonana vipi hiyo siku nyingine?[/QUOTE]
Heh! Unashangaza hasa!!
Wewe nani hasa umlazimishe akupe namba yake? Tena unamtoa akili kabisa wakati wewe ndio usiye na akili.
Kama unataka kujaza phone book yako jaza namba za bajaji bwana usisumbue watu!!
Eti tutaonana vipi hiyo siku nyingine,kwani lazima muonane tena?
Usijilazimishie umuhimu usiokuwa nao!!!!
 
Email???????!!!hahaha haijawahi tokea asee..l

Sasa ukishampa mahala pa kuandika email akakwambia hana email hapo amejiingiza kingi mwenyewe .wewe mwambie "basi hata namba yako ya simu si mbaya unaweza ukaandika kama hutajali" ataandika tu kwa sababu ulishamuwekea mazingira kuwa huhitaji namba yake ya simu ila kwa vile hana email basi umelazimika kuchukua namba yake ya simu
 
^^
Akikupa utasema maharage ya mbeya, akunyime unasema wa Mtwara!
Make your own personality that will attract her to ask for your number
^^

Hii tuition uliyompa hapa itabidi ailipie!!
Mtu uko vululu vululu halafu unalazimisha upewe namba!!!
 
Swala nikuongea mtu akuelewe namba unataka ili nini
Ndio mambo yakwenda kutongozana kwenye simu
Alivyo goma sawa tu
 
Wewe unaitaka namba yake ya nini?...mind ur business as she mind her's ! Keep your self expensive! Siku nyingine usimwombe namba, muombe email, mpe yeye mwenyewe aandike na wakati anaandika unaweza kumwambia "kama hutajali unaweza kuandika na namba yya simu"...try it utaona anaandika mwenyewe bila kupenda....understand hawa viumbe !hawatabiriki kama jua la wakati wa winter

kwa hicho ulichokiandika kama umezaliwa chini ya 90 najiua
 
Unaesema nipo vululu, unaesema sina mvuto. JARIBH HILI, tuweke mashindano ya ma-handsome tuone, najua sitashinda ila nitamshinda mzee wako. Siwezi kushindana nawewe, namtaka mzee wako.
 
Back
Top Bottom