na lisipotokea akarudi na madume yake!!!!1
Zege halilali,viwanja kibao labda awe kwenye udhu!!
Hivi Blackberry bado zipo sokoni?
Black Berry ni simu za watoto wa shule za primary UK! Kumbe bongo ni simu za watu wazima!
Siku ya tukio usisahau kubeba dume mkuu,lolote laweza kutokea!!
Tanzania BBM ndo kitu kipya now lol
Marekani zimeshatolewa sokoni?
Black Berry ni simu za watoto wa shule za primary UK! Kumbe bongo ni simu za watu wazima!