Nitakubeba Juu Juu

We Boflo duanzi kweli yaani hujui maana ya kubebwa juu juu?

ASIYEJUA MAANA USIMPE MAANA, NA KAMWE USIMWAMSHE ALIYELALA.

Nipe mimi kazi ya kuwa mwakilishi wako ktk hiyo Birthday party na hiyo BLACKBERRY unipe nimpelekee.
 
kwani zawadi waga inaombwa heee. what is bitwin hapo anataka nanliu nn manake mmh afu nawee mtoa mada dizaini kama unataka kuingia lini kilaini jiulize lakini PRICE TAG usikulupuke ohhho itakula kwako shaulilo
 
Nyie naona mnapendana ila hamna uhakika....nunua simple gift uendenayo utapata tu majibu ya maswali yako,BB kote huko
 
Kuna demu 1 nilikuwa naye chuo, juzi nimekutana naye akaniambia kuwa tarehe 7 mwezi huu ni Birthday yake,

akaniomba nimnunulie zawadi, nikamuuliza zawadi gani utataka? Akaniambia zawadi yoyote.....Nikamuuliza tena je kama

nitakununulia simu ya Blackberry, akaniambia kama nitamnunulia BB atanibeba juu juu...

Mpaka sasa hivi sijui huku kubebwa kukoje?? Atanibeba kwa kuninyanyua kama mtoto? Au kuna maana nyingine,

Maana nimeogopa kumuuliza asije niona mshamba, Wana Jf naomba mnijuze..

Boflo, itakuwa wamekufanya zombie lao last week alikuwa wa elfu 30 leo ni mwendo wa blackberry, next utakuja na iphone 5. Kazi unayo lol!
 
Kuna demu 1 nilikuwa naye chuo, juzi nimekutana naye akaniambia kuwa tarehe 7 mwezi huu ni Birthday yake,

akaniomba nimnunulie zawadi, nikamuuliza zawadi gani utataka? Akaniambia zawadi yoyote.....Nikamuuliza tena je kama

nitakununulia simu ya Blackberry, akaniambia kama nitamnunulia BB atanibeba juu juu...

Mpaka sasa hivi sijui huku kubebwa kukoje?? Atanibeba kwa kuninyanyua kama mtoto? Au kuna maana nyingine,

Maana nimeogopa kumuuliza asije niona mshamba, Wana Jf naomba mnijuze..

mh em mnunulie af uje kutujuza humu
 
Boflo, itakuwa wamekufanya
zombie lao last week alikuwa wa elfu 30 leo ni mwendo wa blackberry,
next utakuja na iphone 5. Kazi unayo lol!

Na kwa taarifa tu hakuna biashara ya hasara duniani kama kuwekeza kwa Demu. Mnunulie ndg yako yoyote cyo vicheche niamini kwa hilo.
 
@Boflo nunua hiyo BB halafu ukajionee huko kubebwa juu juu ni kubebwa kwa namna gani...lakini bi dada kishastuka hatakubeba tena juu juu maana umeshakuja kumtangaza hadharani. ID anayotumia hapa ni nanihii na anapenda sana kuchangia kule CC
 
Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom