Nitakubeba Juu Juu

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Kuna demu 1 nilikuwa naye chuo, juzi nimekutana naye akaniambia kuwa tarehe 7 mwezi huu ni Birthday yake. Akaniomba nimnunulie zawadi, nikamuuliza zawadi gani utataka? Akaniambia zawadi yoyote. Nikamuuliza tena je kama nitakununulia simu ya Blackberry, akaniambia kama nitamnunulia BB atanibeba juu juu.

Mpaka sasa hivi sijui huku kubebwa kukoje?? Atanibeba kwa kuninyanyua kama mtoto? Au kuna maana nyingine, Maana nimeogopa kumuuliza asije niona mshamba, Wana Jf naomba mnijuze..
 
Hivi Blackberry bado zipo sokoni?

Obama anatumia BB au hulijui hilo??
bb.jpg
 
Kuna demu 1 nilikuwa naye chuo, juzi nimekutana naye akaniambia kuwa tarehe 7 mwezi huu ni Birthday yake,

akaniomba nimnunulie zawadi, nikamuuliza zawadi gani utataka? Akaniambia zawadi yoyote.....Nikamuuliza tena je kama

nitakununulia simu ya Blackberry, akaniambia kama nitamnunulia BB atanibeba juu juu...

Mpaka sasa hivi sijui huku kubebwa kukoje?? Atanibeba kwa kuninyanyua kama mtoto? Au kuna maana nyingine,

Maana nimeogopa kumuuliza asije niona mshamba, Wana Jf naomba mnijuze..

Mpe BB ya mchina, hiyo original unayo taka kumpa niuzie mm kisha nikupe ya mchina.
Huwezi ukampa demu BB original bana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom