Nitakubali utetezi wa Steve Nyerere endapo nitajibiwa maswali haya

Msemajiwao

JF-Expert Member
Sep 12, 2016
639
1,532

Maswali niliyoyapata baada ya utetezi wa Stive kuhusu kukana matamshi yake aliyorekodiwa kwamba alikuwa anatania;
1. Aliyeonekana Dodoma napo hakuwa yeye?
2. Nape, msukuma na mwigulu walipata wapi Namba ya simu kumpigia mama sepetu?
3. Nani aliyesababisha nape kutoa kauli yake?
4. Nani aliyetoa siri za Mali ya makonda?
5. Je wana utani na mama sepetu? Kwanini awaingize viongozi na mawaziri (nape,msukuma,mwigulu) na si wengine kama hakuna ukweli?
6. Kwanini hakufika central police kumsindikiza dadake kama Hakupigwa marufuku kukanyaga na RC?
7. Kwanini simu yake alizima wakati wema sepetu alipokamatwa?
8.kwanini kajibu tuhuma za audio punde tu baada ya kutoka police?
9. Yupo tayali kukabiliana na ushahidi utakaotolewa na mama sepetu?
10. Ni kipimo gani kitaonyesha maneno aliyosema mbele ya waandishi yaaminiwe kuliko aliyoyasema kwenye audio huku akithibitisha Kwa vitendo?
††††††††††††††††††††
VINGINEVYO UTETEZI WAKE NI WA KUPUUZWA
 
Itisha press na stiv akupe majibu.
 
Kweli huyu dogo ana uwezo mdogo sana wa kufikiri, anafikiri watanzania wote wanafikiri kiccm ccm, watanzania wa leo wanahoji mpaka kiongozi wa juu kwa nini Mume wake hafahamiki, watanzania wa leo wengi wao ni akili kubwa, na ndiyo maana wanasubiri nyie wenyewe maccm mparurane ili tuikomboe nchi yetu kwenye mikono ya fisi
 
Unatafuta ukweli mara mbili!!!!? Alishakwambia audio ni ya kwake, nikweli aliongea na mama Wema , ila. .............,......@#&$......#@&^..

Unaweza ukapunguza wingi wa maswali, unganisha nukta kwa wale waliotajwa, je sentesi zinatofautiana. Kama zinafanana basi utakuwa umeshapata jibu
 
Maswali niliyoyapata baada ya utetezi wa Stive kuhusu kukana matamshi yake aliyorekodiwa kwamba alikuwa anatania;
1. Aliyeonekana Dodoma napo hakuwa yeye?
2. Nape, msukuma na mwigulu walipata wapi Namba ya simu kumpigia mama sepetu?
3. Nani aliyesababisha nape kutoa kauli yake?
4. Nani aliyetoa siri za Mali ya makonda?
5. Je wana utani na mama sepetu? Kwanini awaingize viongozi na mawaziri (nape,msukuma,mwigulu) na si wengine kama hakuna ukweli?
6. Kwanini hakufika central police kumsindikiza dadake kama Hakupigwa marufuku kukanyaga na RC?
7. Kwanini simu yake alizima wakati wema sepetu alipokamatwa?
8.kwanini kajibu tuhuma za audio punde tu baada ya kutoka police?
9. Yupo tayali kukabiliana na ushahidi utakaotolewa na mama sepetu?
10. Ni kipimo gani kitaonyesha maneno aliyosema mbele ya waandishi yaaminiwe kuliko aliyoyasema kwenye audio huku akithibitisha Kwa vitendo?
††††††††††††††††††††
VINGINEVYO UTETEZI WAKE NI WA KUPUUZWA
Huyu Steve huyu!
Kwanza afutwe ile jina la Nyerere.
Analitia aibu.
 
Mama wema akiitwa sentro akiri ni kweli alikuwa na mawasiliano na steve na hata mahakamani akiri

Hii itasaidia kuwavuruga upande wa pili
 
Maswali niliyoyapata baada ya utetezi wa Stive kuhusu kukana matamshi yake aliyorekodiwa kwamba alikuwa anatania;
1. Aliyeonekana Dodoma napo hakuwa yeye?
2. Nape, msukuma na mwigulu walipata wapi Namba ya simu kumpigia mama sepetu?
3. Nani aliyesababisha nape kutoa kauli yake?
4. Nani aliyetoa siri za Mali ya makonda?
5. Je wana utani na mama sepetu? Kwanini awaingize viongozi na mawaziri (nape,msukuma,mwigulu) na si wengine kama hakuna ukweli?
6. Kwanini hakufika central police kumsindikiza dadake kama Hakupigwa marufuku kukanyaga na RC?
7. Kwanini simu yake alizima wakati wema sepetu alipokamatwa?
8.kwanini kajibu tuhuma za audio punde tu baada ya kutoka police?
9. Yupo tayali kukabiliana na ushahidi utakaotolewa na mama sepetu?
10. Ni kipimo gani kitaonyesha maneno aliyosema mbele ya waandishi yaaminiwe kuliko aliyoyasema kwenye audio huku akithibitisha Kwa vitendo?
††††††††††††††††††††
VINGINEVYO UTETEZI WAKE NI WA KUPUUZWA
#2. Nape, Mwigulu na Msukuma walikuwa wadau wakubwa wa kampeni za ccm 2015 pamoja na Wema.
Kuwa na namba ya Wema na Mama yake (mama wa michongo na kiongozi wa ccm kwenye kata yake Sinza) si cha ajabu.
Na hata Wema angeweza kuwa na namba ya Mh. Samia VP, sishangai kwa sababu ya timu ya "mama ...na mwanao".
 
Maswali niliyoyapata baada ya utetezi wa Stive kuhusu kukana matamshi yake aliyorekodiwa kwamba alikuwa anatania;
1. Aliyeonekana Dodoma napo hakuwa yeye?
2. Nape, msukuma na mwigulu walipata wapi Namba ya simu kumpigia mama sepetu?
3. Nani aliyesababisha nape kutoa kauli yake?
4. Nani aliyetoa siri za Mali ya makonda?
5. Je wana utani na mama sepetu? Kwanini awaingize viongozi na mawaziri (nape,msukuma,mwigulu) na si wengine kama hakuna ukweli?
6. Kwanini hakufika central police kumsindikiza dadake kama Hakupigwa marufuku kukanyaga na RC?
7. Kwanini simu yake alizima wakati wema sepetu alipokamatwa?
8.kwanini kajibu tuhuma za audio punde tu baada ya kutoka police?
9. Yupo tayali kukabiliana na ushahidi utakaotolewa na mama sepetu?
10. Ni kipimo gani kitaonyesha maneno aliyosema mbele ya waandishi yaaminiwe kuliko aliyoyasema kwenye audio huku akithibitisha Kwa vitendo?
††††††††††††††††††††
VINGINEVYO UTETEZI WAKE NI WA KUPUUZWA
Kama hatuna tena usalama wa taifa vile?? Kwahiyo wameamua kumtuma kukanusha ili iweje wakati tayari inaonekana mazungumzo yake na mama Wema yalikuwa ni og!!
 
Back
Top Bottom