Nitakosea nikiendelea na huyu Binti? Roho inaniuma sana

Mrudie ufurahie maisha MKUU.. pengine yupo humu jf na ameinjoy na stori yenu
 
Wakuu ngoja niende kwenye pointi.

Last week nilipata safari ya kikazi huko mkoani, nipo kwenye Ofisi mpya kidogo kwangu. Sasa kama kawaida nimefika up country siku mbili Tatu nikapata mwenyeji Binti, graduate wa chuo kikuu mwaka jana 2020.

Ni jioni moja tulivu napita sehemu namkuta binti na kijana Mwingine, wakanihudumia vizuri sasa Ongea ya binti na muonekano wake ulinivutia, sasa sijui ni kwasababu niko mbali na mke kwa hizo siku kazaa. Anyway binti nilitamani kuongea nae zaidi ila sikutaka yule kijana anisikie.

So wakati naondoka nilimwita, alivyokuja neno la kwanza nililomuuliza ni huyo Kaka ndio mumeo? Akasema nope ile ya kutikisa kichwa kabisa. Swali langu ilikuwa ni gia tu yakupata access nae. Nikamuuliza Ofisi yao wanafunga saa ngapi, akajibu saa 3usiku.

Anyway nikampa simu yangu aandike namba yake, akashtuka kidogo lakini aliandika na nikapata nafasi ya kumuuliza na jina kabisa. Nikajua jina lake. Iliisha siku moja na nusu bila kumwona tena . Ile jioni nikaibuka, nikaanza sound za hapa na pale binti akanielewa. Ni kwamba tuliozoeana mapema sana.

Na kesho yake alinipa ahadi ya kunitembelea hotelini. Baada ya shughuli zangu naona text niko Restaurant ya hotel. Duh nikatest zali, niko busy na kazi kidogo hapa ndani unaweza kunijoin tu! Nikaelekeza chumba nilichopo ghorofa ya pili. Sikuwaza kama binti angekuja, daaah!!

Nikampokea pale akaa kwenye kiti kilichokuwepo hapo huku mimi niko na laptop nabonyeza bonyeza tu as kuna kitu serious nafanya kumbe hamna lengo ni kumwingiza pale ndani. Ujasiri wake ulinirudisha nyuma kidogo. Baada ya kama dakika 15 hivi nikafunga laptop tukaendelea na story. Akawa ananipa tu stori za biashara zake na anavyojitahidi kuzihandle na nilimhoji kuhusu mtaji alipoupata akasema ni Baba yake alimwezesha alivyomaliza tu Chuo.

Ki ukweli tulizungumza mambo mengi tu akawa ananihoji nilifanyaje nikapata kazi, japo nilimwambia yeye aliyejiajiri ndio ana nafuu. Hoja kwa hoja wazo kwa wazo, mpaka wakati huo tulikuwa tunaongea kama Kaka na Dada tu yaani. Stori zikawa ni biashara biashara tu. Upepo ulichange alivyohoji kuhusu mke wangu na familia yangu kwa ujumla, alijua nimeoa as pete yangu ya ndoa inaonekana vizuri!!

Usiku ukaingia tukatoka kuelekea Restaurant kwa ajili ya Dinner. Hapo bado mahusiano yetu ni kama vile mtu na Kaka yake.
Nikalipia msosi, moyoni najiambia huyu leo atalala hapa. Baada ya msosi si akaaga, duuuh! I count it loss kwenye kupata mambo.

Nikamwambia basi mimi nilitegemea kampani yake ule usiku. Akanitazama akatabasamu, kabla hajajibu kitu nikamuwahi awe huru tu.

Wakati tukiwa njiani kuelekea anakoishi ndio akaniambia kampani labda kesho. lahaulaa...kumbe ningekomaa angebaki na mimi. Anyway nilijipa moyo wa subira hadi hiyo kesho. And mpaka hapo yaani tushazoeana kweli kweli, ilikuwa ajabu kidogo.

Nilivyorudi room kulala ndio nikagundua mistake niliyofanya ya kuto jaribu kumgusa nione mzuka wake, anyway nikajimotivate past is past let me think about tomorrow. Nikamtext hey! Kuna wazo lako nimelikubali sana naomba nilisupport.

Kwenye biashara yake kuna kijimashine alitaka kukinunua na bado hajatimiza kiasi kinachohitajika na alitegemea kununua Mwezi wa 11 mwishoni. So nikamwambia nimsaidie ili kesho yake anunue (aongezee hela aliyokuwa nayo).

Alifurahi sana niliamua kufanya hivyo ili tunogesha usiku wetu uliokuwa unakuja. Nikatumia namba ya bank, nikafunga macho huku najisemea utamuu njoo utamu kolea. Chap Simbanking ikanirudishia ujumbe wa kuhamisha 200k kwenda kwa.

Mapigo ya Moyo yapo normal kabisa. Alinijibu tu Thank you my partner in business. Kuna baadhi ya mambo pia nilikuwa nimemshauri, so niliona nimsapoti kwa vitendo pia na binafsi nilishamuelewa sana.

Siku iliyofuata mapema tu, naamshwa na meseji ya Goodmorning partner! Naelekea mjini kufanya lile jambo hope to see you jioni na upite uone utekelezaji. Nikajibu poa poa nitapita.

Baada ya kazi nikapita nikakuta binti na yule kijana wanachakarika japo wateja hawakuwa wengi kihivyo. Akanionyesha mambo yake pale and i appreciate kwa kweli. 200k yangu imefanya jambo!

Sikukaa sana pale, nikaingia zangu hotelini. Hapo nausubiria Usiku mwanana wa kula tunda la binti mwenye akili zake.

Hii siku alichelewa sana kwa kweli maybe kwasababu ya jukumu jipya alilolianza. Alivyofika tulielekea kupata dinner moja kwa moja. Alikuja na kapochi kake a good thing alikiacha pale room wakati tunatoka kupata msosi lahaulaa...mzuka ukawa na uhakika wa kula tunda!

Tumetoka dinner kurudi room mimi ndio nilianza uchokozi, nikamkumbatia binti vizuri woow akawa huru kabisa kwenye kumbatio langu. Vikisi vya hapa na pale, na nina siku kazaa sijala mbususu yoyote (wanaume tuliooa) kukaa wiki bila kula tunda ni tabu sana.

Wakati naendelea pale binti ikawa kama anataka kuniambia kitu, kwanza aka apologize ile alivyosema tu Sorry partner! Nikashtuka kidogo jua hapo tushakiss sana romance sana na ndio nilitaka kupeleka mkono nimvue pichu yake, sikuhangaika sana na kiminiskirt chake.

Duh! akaniambia bahati mbaya ameanza kuuzunguka mwezi mchana, so ana wasiwasi ninaweza nisifurahie sana lile tendo! Ila akaniambia she can do what she can ili kunisatisfy!

Ooh! Suree, dah hapa mbususu hailiki tena. Basi bana' mzuka nikauforce ushuke japo alinishawishi niingize tu kwa madai huwa kwake inaanza kidogo kidogo sana, aliniambia tu kunitahadharisha but we can sex.

Kwangu no aisee, nilimwambia asijali ni kweli singefurahi kufanya akiwa katika hiyo hali hata kama inatoka kidogo kidogo kiasi gani.
Pale akachezea tu mashine kwa mbinu zake, kitu kikaruka!! Mchezo ukaishia hapo na kutunza heshima na tulilala nae pale hotelini.

Basi u partner ukaendelea kwenye mawasiliano nikarudi zangu kazini.

As long wazazi wake wako Dar tulikubaliana siku akija tutapata muda wakutosha nae (japo kwangu ni ngumu kidogo).

Wakuu shida iko hapa sasa, juzi tukiwa kwenye shughuli zetu za kawaida Supervisor wangu ni Jamaa wa makamo hivi, na huwa tunataniana sana kuhusu michepuko. Na Mungu saidia sikumsimulia chochote kuhusu mchepuko niliokutana nao safari.

Jamaa ni mtu wa tungi kiaina. Sasa akawa anaongea na simu kwa muda kidogo alivyorudi si ndio akanielezea kuwa alikuwa anaongea na binti yake yuko mkpani huko anafanya biashara ndogo ndogo na kuna kaatua ame succeed so mdingi alikuwa anampongeza, jamaa akaanza kunisimulia jinsi binti yake anapambana na maisha.

Aisee nimejua kumbe yule binti Baba yake nafanya nae kazi tena ni kiongozi wangu kabisa.

Bado sijamwambia huyu business partner kuwa nimemfahamu Baba yake na ujinga niliofanya sikuwahi kumuuliza jina lake la Pili, ajabu nikarejea ile meseji ya muamala ndio nipata uhakika zaidi kuwa huyu ndiyo binti wa jamaa japo jina la jamaa linatokea moja la ukoo halitokei.

Bado sijamsanua kabisa huyu business partner jinsi naheshimiana na Baba yake.

Natamani nisitishe mawasiliano kimya kimya, sijui inaenda kuwaje?

Wadau au nimweleze binti tu?
Wee kula mtoto huyo acha wenge au hujui madingi hayajuagi wala hayataki kujua anaekula mwanae...
Kikubwa usimpe mimba tu
 
Kwahiyo kwa kuwa unamheshimu baba yake ni haramu kuwa na mahusiano na binti yake?

Watanzania mnapenda kuchanganya mambo.
 
Back
Top Bottom