jonii jonii
Member
- Jul 10, 2016
- 70
- 39
....HIVI NDIVYO NITAKAVYOMUEPUSHA MWANANGU NA KUISOMA NAMBA NA MAMA NDALICHAKO........
Akiwa na umri wa kumuanzisha shule Nursery nitampeleka na nitamlipia ada kama kawaida.....
=>Mwaka unaofuata nitaenda kwenye shule za medium kuulizia bei ya kumuandikisha darasa la kwanza....nitaambiwa ada kwa mwaka ni mi 1na laki 2 ...nitarudi nyumbani nikicheka kisha namkamata mwanangu mkono naenda kumuandikisha kwenye shule za serikali ambapo elimu ni bure....ataanza la kwanza na kina kapeto wenzake wamfundishe ubabe ili naye awe nunda..
nitahakikish tuu hadi anamaliza la 7 anajua kusoma,kuandika na kuhesabu...hilo tuu.ila kwa mwaka nitahakikisha napata mil 1 na laki 2 kama ile niliyoambiwa kule Medium school...nitamfungulia mwanangu account nimuwekee hio mil 1 halafu hio laki 2 nitatumia kumnunulia mahitaji mbalimbali haswa sare za shule maana najua atakuwa anazichana kila mara sababu ya ngumi huko skuli na wababe wengine...
nitafanya hivyo kwa miaka yote 7 ambapo nitakuwa na jumla ya mil 7 kwenye ile acount....hapo atakuwa amemaliza elimu ya msingi....akifaulu japo kwa tabu nitazamiria kumpeleka sekondari...
=>Nitaenda pale KAIZEREGE SEC Kuulizia ada kwa mwaka ni bei gani...nitaambiwa ni mil 2 na laki 3.....nitarudi nyumbani kwa tabasam pana sana ...kisha namchukua mwanangua nampeleka huko sekondary za kata kwenye Elimu bure...nia ni ili akajifunze namna kuishi na watu, ajue kujitambua haswa kukabiliana na mabadiliko ya kimwili kama kubalehe na kuvunja ungo...yaan kifupi ni ili ajitambue tuu....
Ila kwa mwaka nitahakikisha napata ela kama ile niliyoambiwa kule KAIZEREGE SEC ambayo ni milion 2 na laki 3....hio milion 2 nitakuwa naiweka kwenye ile ile acount yake na hilo laki 3 namfanyia matumizi ya kawaida....nitafanya hvyo kwa miak yote minne ambapo nitakuwa nimekusanya jumla ya milion 8 ukijumlisha na ile milion 7 ya shule ya msingi unakuwa na milion 15 kwenye acount...wakati anasubiri matokeo ya kidato cha nne ambapo uwezekano wa kufaulu ni 20% nitampeleka kwa RASI SIMBA akapigishwe English course kwa mienzi mitatu ambapo sasa atakuwa vzr kichwani.....
=>Matokeo yatatoka kuwa amefeli..nitafurahi sana...nitamtafutia tena kozi ya kusomea mambo ya biashara kwa miezi mingine mitatu...akimaliza naenda kwenye ile acount nachua ile Mil 15 namfungulia biashara kisha naifanya naye kwa muda wa miezi 6 akishaizoea namkabidhi kila kitu namuambia hicho ndio kidato chako cha sita na chuo kikuu...ukifeli utajua mwenyewe...
=> Baada ya miaka 6 yule ambaye aliendelea form 6 hadi chuo kikuu atakuja kutafuta ajira hapo kwa kijana na mm nitakuwa sidaiani naye tena...kila mtu na maisha yake
=> Sasa nyie endeleeni kukomaa na medium schools, St. Mary's sec, UDOM mje muitwe vilaza.......mara mikopo hamna....mara majoho.....mara cjui BOOM nini na nini....NDALICHAKO HATOWAACHA WALAH.....MWISHO WA SIKU YEYE ATAKUWA NA BIASHARA YAKE KUBWA NA WALE WENGINE WATAKUWA NA MAVYETI NA PICHA ZA MAJOHO.......