Nitakavyomuepusha mwanangu na maisha ya kuisoma namba

jonii jonii

Member
Jul 10, 2016
70
39
....HIVI NDIVYO NITAKAVYOMUEPUSHA MWANANGU NA KUISOMA NAMBA NA MAMA NDALICHAKO........

Akiwa na umri wa kumuanzisha shule Nursery nitampeleka na nitamlipia ada kama kawaida.....

=>Mwaka unaofuata nitaenda kwenye shule za medium kuulizia bei ya kumuandikisha darasa la kwanza....nitaambiwa ada kwa mwaka ni mi 1na laki 2 ...nitarudi nyumbani nikicheka kisha namkamata mwanangu mkono naenda kumuandikisha kwenye shule za serikali ambapo elimu ni bure....ataanza la kwanza na kina kapeto wenzake wamfundishe ubabe ili naye awe nunda..

nitahakikish tuu hadi anamaliza la 7 anajua kusoma,kuandika na kuhesabu...hilo tuu.ila kwa mwaka nitahakikisha napata mil 1 na laki 2 kama ile niliyoambiwa kule Medium school...nitamfungulia mwanangu account nimuwekee hio mil 1 halafu hio laki 2 nitatumia kumnunulia mahitaji mbalimbali haswa sare za shule maana najua atakuwa anazichana kila mara sababu ya ngumi huko skuli na wababe wengine...

nitafanya hivyo kwa miaka yote 7 ambapo nitakuwa na jumla ya mil 7 kwenye ile acount....hapo atakuwa amemaliza elimu ya msingi....akifaulu japo kwa tabu nitazamiria kumpeleka sekondari...

=>Nitaenda pale KAIZEREGE SEC Kuulizia ada kwa mwaka ni bei gani...nitaambiwa ni mil 2 na laki 3.....nitarudi nyumbani kwa tabasam pana sana ...kisha namchukua mwanangua nampeleka huko sekondary za kata kwenye Elimu bure...nia ni ili akajifunze namna kuishi na watu, ajue kujitambua haswa kukabiliana na mabadiliko ya kimwili kama kubalehe na kuvunja ungo...yaan kifupi ni ili ajitambue tuu....

Ila kwa mwaka nitahakikisha napata ela kama ile niliyoambiwa kule KAIZEREGE SEC ambayo ni milion 2 na laki 3....hio milion 2 nitakuwa naiweka kwenye ile ile acount yake na hilo laki 3 namfanyia matumizi ya kawaida....nitafanya hvyo kwa miak yote minne ambapo nitakuwa nimekusanya jumla ya milion 8 ukijumlisha na ile milion 7 ya shule ya msingi unakuwa na milion 15 kwenye acount...wakati anasubiri matokeo ya kidato cha nne ambapo uwezekano wa kufaulu ni 20% nitampeleka kwa RASI SIMBA akapigishwe English course kwa mienzi mitatu ambapo sasa atakuwa vzr kichwani.....

=>Matokeo yatatoka kuwa amefeli..nitafurahi sana...nitamtafutia tena kozi ya kusomea mambo ya biashara kwa miezi mingine mitatu...akimaliza naenda kwenye ile acount nachua ile Mil 15 namfungulia biashara kisha naifanya naye kwa muda wa miezi 6 akishaizoea namkabidhi kila kitu namuambia hicho ndio kidato chako cha sita na chuo kikuu...ukifeli utajua mwenyewe...

=> Baada ya miaka 6 yule ambaye aliendelea form 6 hadi chuo kikuu atakuja kutafuta ajira hapo kwa kijana na mm nitakuwa sidaiani naye tena...kila mtu na maisha yake

=> Sasa nyie endeleeni kukomaa na medium schools, St. Mary's sec, UDOM mje muitwe vilaza.......mara mikopo hamna....mara majoho.....mara cjui BOOM nini na nini....NDALICHAKO HATOWAACHA WALAH.....MWISHO WA SIKU YEYE ATAKUWA NA BIASHARA YAKE KUBWA NA WALE WENGINE WATAKUWA NA MAVYETI NA PICHA ZA MAJOHO.......
 
Mkuu Ndalichako hana muda itabidi apishe na wizara ishikwe na mzalendo, Usitie wasi washauri wa raisi wameshamshauri mkuu kuwa wizara nyeti kama Nne ivi ikiwemo ya elimu apewe mtu aliepigiwa kura, Huyu wa kuteuliwa alipata ujiko na kuanza kuboroka, Hatutaki kuchezea elimu kwa maana ndio kiini(core) la mafanikio ya Taifa. Mosi tunaweka Miongozo ambayo hata akipatikana waziri mpya itabidi awe mtekelezaji wa hizo sera na sio kila waziri akilala na kuamka Atoe tamko
 
saw mkuu,ukijaliwa uwezo huo ni vema mwanao akipita katika njia iyo awe na maisha bora akijitunza mwenyew pia..na badae anaweza akarudi kuendlea na f6 na chuo kikuu akiwa tayar ana kazi au ajira yake.ishu inakuja wap kibongo bongo kupata hyo pesa mill.15 kam mtaji ndo kazi ipo hapo,hata ukisema uweke kam wew ulivopiga hesabu ni ngumu kwa sababu mambo mengi hutokea katika majukumu ambayo utakabiliana nayo.ni wazo zurii
 
....HIVI NDIVYO NITAKAVYOMUEPUSHA MWANANGU NA KUISOMA NAMBA NA MAMA NDALICHAKO........

Akiwa na umri wa kumuanzisha shule Nursery nitampeleka na nitamlipia ada kama kawaida.....

=>Mwaka unaofuata nitaenda kwenye shule za medium kuulizia bei ya kumuandikisha darasa la kwanza....nitaambiwa ada kwa mwaka ni mi 1na laki 2 ...nitarudi nyumbani nikicheka kisha namkamata mwanangu mkono naenda kumuandikisha kwenye shule za serikali ambapo elimu ni bure....ataanza la kwanza na kina kapeto wenzake wamfundishe ubabe ili naye awe nunda..ila nitahakikish tuu hadi anamaliza la 7 anajua kusoma,kuandika na kuhesabu...hilo tuu.ila kwa mwaka nitahakikisha napata mil 1 na laki 2 kama ile niliyoambiwa kule Medium school...nitamfungulia mwanangu acount nimuwekee hio mil 1 halafu hio laki 2 nitatumia kumnunulia mahitaji mbali mbali haswa sare za shule maana najua atakuwa anazichana kila mara sababu ya ngumi huko skuli na wababe wengine....nitafanya hivyo kwa miaka yote 7 ambapo nitakuwa na jumla ya mil 7 kwenye ile acount....hapo atakuwa amemaliza elimu ya msingi....akifaulu japo kwa tabu nitazamiria kumpeleka sekondari...

=>Nitaenda pale KAIZEREGE SEC Kuulizia ada kwa mwaka ni bei gani...nitaambiwa ni mil 2 na laki 3.....nitarudi nyumbani kwa tabasam pana sana ...kisha namchukua mwanangua nampeleka huko sekondary za kata kwenye Elimu bure...nia ni ili akajifunze namna kuishi na watu, ajue kujitambua haswa kukabiliana na mabadiliko ya kimwili kama kubalehe na kuvunja ungo...yaan kifupi ni ili ajitambue tuu....Ila kwa mwaka nitahakikisha napata ela kama ile niliyoambiwa kule KAIZEREGE SEC ambayo ni milion 2 na laki 3....hio milion 2 nitakuwa naiweka kwenye ile ile acount yake na hilo laki 3 namfanyia matumizi ya kawaida....nitafanya hvyo kwa miak yote minne ambapo nitakuwa nimekusanya jumla ya milion 8 ukijumlisha na ile milion 7 ya shule ya msingi unakuwa na milion 15 kwenye acount...wakati anasubiri matokeo ya kidato cha nne ambapo uwezekano wa kufaulu ni 20% nitampeleka kwa RASI SIMBA akapigishwe English course kwa mienzi mitatu ambapo sasa atakuwa vzr kichwani.....

=>Matokeo yatatoka kuwa amefeli..nitafurahi sana...nitamtafutia tena kozi ya kusomea mambo ya biashara kwa miezi mingine mitatu...akimaliza naenda kwenye ile acount nachua ile Mil 15 namfungulia biashara kisha naifanya naye kwa muda wa miezi 6 akishaizoea namkabidhi kila kitu namuambia hicho ndio kidato chako cha sita na chuo kikuu...ukifeli utajua mwenyewe...

=> Baada ya miaka 6 yule ambaye aliendelea form 6 hadi chuo kikuu atakuja kutafuta ajira hapo kwa kijana na mm nitakuwa sidaiani naye tena...kila mtu na maisha yake

=> Sasa nyie endeleeni kukomaa na medium schools, St. Mary's sec, UDOM mje muitwe vilaza.......mara mikopo hamna....mara majoho.....mara cjui BOOM nini na nini....NDALICHAKO HATOWAACHA WALAH.....MWISHO WA SIKU YEYE ATAKUWA NA BIASHARA YAKE KUBWA NA WALE WENGINE WATAKUWA NA MAVYETI NA PICHA ZA MAJOHO.......

#NIMEPITA_HIVIIIIII
Mkuu nimeipenda hiyo concept yako lakini kuna vitu umekosea hapo...Umezungumzia kumsomesha elimu ya biashara kwa miezi mitatu ili aje kufanikiwa ktk biashara na kuajiri ma graduates.....Unaposema Elimu ya biashara unazungumzia combination ya masomo yafuatayo....ACCOUNTING &FINANCE,MARKETING,ECONOMICS,COMMERCE,OPERATIONS ,BUSINESS INFORMATION ,STATISTICS,ETHICS,STRATEGIES,HR ,ORGANIZATION BEHAVIOR,PRINCIPLES OF MANAGEMENT,PUBLIC RELATIONS. ...NK
Huwezi kusoma hayo masomo kwa miezi mitatu...
Dunia ya leo and near future ina mashindano makali sana ndiyo maana biashara nyingi zinazoanzishwa zinakufa kwa muda mfupi....
Msomeshe mwanao elimu ya biashara at least miaka miwili....
 
Kazi ipo kutekeleza hizo plan za kudeposit hela je utakua mwaminifu Maana hela tamu sana mkuu
 
Sisi baba zetu hizo milioni za kila mwaka hawana kwa hiyo huo mtaji kwetu ni ndoto sana sana hili boom ndio tunawatumia kidogo huko nyumbani wapunguze ukali wa maisha

Ngoja tusome tu tutatokea huku huku elimuni
 
Halafu nyie ndiyo baadaye mnaanza kulalamika kwamba nafasi kubwa wanapewa watoto wa viongozi tu, mara udini, mara wanapewa watoto wa Mary Mary tu wa kayumba wameachwa. Kwa mwenendo huo mwanao na kizazi chako chote wanakuwa wananchi tu kati ya wenye nchi.
 
Back
Top Bottom