Nitajuaje kuwa mi ni mtamu na ninamridhisha mwenzangu?

Nazjaz ukitoa tabia ambayo mtu anaweza kuitumia kama kigezo cha kukuacha, kama umeshawahi kuachwa na maboyfriend zaidi ya wanne wakati wameshakumega jua wewe siyo mtamu au una kasoro ambayo wakikueleza labda watakukwaza.

kweli hii ni sababu pekee inayo fanya watu waachwe?
Kweli watu wanaachwa sababu sio watamu?
 
Kila nimuulizapo anasema namridhisha sana, lakini mambo yetu ya chumbani huwasimulia wenzie, eti nina mpwechelo mkubwa

Hii dunia hii jamani! Kila ninapodhani nimeshisikia misamiati yote mtu analeta mpyaaaa!
 
Jamani nataka kujua ntajuaje kama namridhisha mwenzangu?
Maana sijawahi sikia mwanaume akilalamika kuwa hajafikishwa kileleni

Pita pande hii nikuonje then taambia veve kama mtamu ama hapana
 
akigugumia tu ujue tayari,we mtamu

Michese pipo wako fake now days yaan uiiiw tena usiombe awe mwanamke huyo anayegugumia,ila wanaume wengi hawawezi fake miguno ila wanafake masifio hahaha mtu kufika mpaka amuwaze halima wakati yupo na mwaj afu akimaliza mwaj we mtamu sijaona ptuuuuu yaan I wish hii mambo isingekuwepo maana kuna michorano balaa hahaha
 
Pole sana mimi huwa namsifia mpenzi wangu kuwa ni mtamu sana.Nafikiri unapaswa kumuuliza mwenzio anajisikiaje wakati mnapiga show kwenye stage.Hapo utapata majibu
Mkuu wa kaya, unategemea katika mazingira hayo anaweza kupewa jibu negative? Kamwe haitatokea
 
Kila nimuulizapo anasema namridhisha sana, lakini mambo yetu ya chumbani huwasimulia wenzie, eti nina mpwechelo mkubwa

Makubwa haya, kwa hiyo kila kitu cha chumbani kwenu ni transparent?! Anamiaka mingapi huyo? Inaonekana nyie wote mmeruka stage.
 
Unaposema 'utamu' wa mwanamke unamaanisha nini? Dhana ya utamu kwa maoni yangu hai-apply ktk tendo la ngono. Tutafute neno litakaloeleza tuanchotaka kukisema. Kama kei inaweza kuwa tamu, inapokuwa chungu inakuwaje? Wengine nimeona wanachangia kuhusu size ya kei, kama ni mnato au la. Je huu ndo utamu??
 
Utamu ni utamu tu. Ukitaka kujua kama wewe ni mtamu au la,hesabu ni mara ngapi umeambiwa mkananiii baada ya mara ya kwanza. Wapo wanawake wanaachawa siku hiyohiyo anayopandwa. Kuna utamu tofauti tofauti:utamu wa style,utamu wa mnato,utamu wa miguno,utamu wa viuno nk
 
Jiulize,jamaa wako wangapi?kama yuko peke yake,basi wee ni mchungu
 
Kila nimuulizapo anasema namridhisha sana, lakini mambo yetu ya chumbani huwasimulia wenzie, eti nina mpwechelo mkubwa[/QUOTE]

Hahahaaaa...... Yaani nimecheka mbaaaaaaaya eti Mpwechelo mkubwa..!
 
muulize kama anaiona dar es salaam yote. akisema ndio ujue yupo mlimani tena kileleni
 
Kila nimuulizapo anasema namridhisha sana, lakini mambo yetu ya chumbani huwasimulia wenzie, eti nina mpwechelo mkubwa
Mpwechelo mkubwa ndio kitu adimu ambacho unacho na ndipo utamu wako ulipo, saaaaaaaaaaafi sana!
 
Back
Top Bottom