Nitajuaje kuwa mi ni mtamu na ninamridhisha mwenzangu?

masaa 4 baada ya tukio au asubuhi yake kama mna mazowea ya kufanya usiku usiku akiwa na furaha na mood nzuri ujuwe mambo mazuri, ukimuona mood yake siyo nzuri na mkali mkali, ujuwe mambo yako si mazuri.
 
hivi mtu anaweza kulala namtu then amwambie haikuwa sweet kweli
wanasifia tu bwana
ila kama mbaya hutorudi tena
so kujua kama ni tamu au vipi cheki mahudhurio!
 
nazjaz umenichekesha.wapo wanaokuwa wakweli wakisema k yako ina mnato wa haja.na wako wengine wanaweza wakakwambia kumbe wanakudanganya.kwenye mapenzi,angalia vitendo vya mwenzako na sio maneno
 
teh teh teh.........hilo nalo neno ingawa inategemea kwa muda gn anahitaj coz inaweza ikatokea cku hyo amehitaj tena coz kabanwa.Mkojo hauchagui kichaka.
 
Kama hujamiani basi iko hivyo....kula vitu vya sukari sukari kwa wingi Nazjaz utakuwa mtamu sana. Hujambo wewe lakini
 
Last edited by a moderator:
Nadhani kila mwanamke ni mtamu, ila huo utamu inategemea huyo mwanaume atau define vipi.
 
Jamani huu si muda wa kazi lakini...??? We dont have time conscienceness...!!!
 
utamu wako unapimwa na mara ngapi jamaa anataka K yako. so wee kipimo kizuri ni dnt initiate the act tulia tuu ata kama una hamu naye. kama kweli wee mtamu atakuomba tuu laki kama wee mchungu wala hatajisumbua atakuacha ulivyo

hapo jombii umenena kama hatokuomba hy K bc jua huna chako
 
utamu unategemeana natabia sidhani kama mmetoka kwenye ugomvi mtaona utamu kwa kila mmoja bali ni kuhitimisha tamaa. upendo na kuaminiana ndio vinaleta raha kwenye tendo. kama hauna upendo na hata humwamini mpenzio sidhani kama utapata raha kwenye tendo
 
Huyo labda ni bubu ningekuwa mimi ningeisha kuambia mtamu kabla sijamaliza :biggrin:
 
Pole sana mimi huwa namsifia mpenzi wangu kuwa ni mtamu sana.Nafikiri unapaswa kumuuliza mwenzio anajisikiaje wakati mnapiga show kwenye stage.Hapo utapata majibu

Kila nimuulizapo anasema namridhisha sana, lakini mambo yetu ya chumbani huwasimulia wenzie, eti nina mpwechelo mkubwa
 
Back
Top Bottom