Nitajiunga na CCM kutafuta Cheo serikalini, hali imekuwa ngumu. Nina watoto wanaonitegemea!

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Jamani msishangae, ndiye mimi MAHANJU ndugu yenu na mwanachama hai wa JF.eeh!!ndiye mimi,maamuzi ni yangu mimi. Nitafanya hivyo kama itawezekana ikiwa ni baada ya muda niliojipa kutafakari ukiisha.

Naona upande huo kuna ulaji,upatu upo kwa wingi bhana. Maisha yenyewe mafupi haya kwanini niishi kwa tabu na wanangu? Aaaah! Naunganga na mtani wangu msemaji wa zamani wa watani zangu kusaka tonge, naona ni muda muafaka kumpa nguvu huenda yeye
ataukwaa na mimi nikafata. Tena kakazana kweli kweli na kapinda kupiga domo vibaya mno.

Aaah! alijaribu Mtela akaula, akaenda Da July akaila, khaa hata mzee mwenzangu wa katiba mya nae akaula, ninasubiri nini mimi MAHANJU? Ako Samu juzi nae kaamua,Mdomo ninao, ngoja nikacheze sishndwi kamwe. Huku njaa come on!! Yaani kama huna kamradi cha kujishikaza kama cha rafiki angu yule utakufa.

Pande zile umate umate upo bhana, khahaa kununua ndinga zote zile za Arumeru pamoja na mwenye jimbo sio mchezo, ndio ujue kua upande ule pochi zimetunaa come on!!

Shida nini? Si ndio kuandika na kusema tuu? Tena hawa rafiki zangu nawajua in and out nikienda huko ni kukanyagia tuu mpaka mwisho. Yaani hakyamama nitasimama kusema mpaka povu linitoke hadi Chair aone.

Ngoja nijifikirie kwa kina halafu nifikie ukingoni, nina imani nikienda kuachia kadi yangu kwa class mate wangu ofisini kwake pale makao makuu ya jiji kuu ndio patakua pazuri pakuanzia.
 
Ila kama elimu yako ni ya hapa na pale sahau kuteuliwa na huyu jamaa.

Madokta na maprofa wataenjoy sana utawala huu.
Sifa kidomo tuu!! Elimu ni kusaka vyeti kitaa,hilo halinisumbui. Wanasiasa sifa kusema na kuandika tuu! Hahaaa!! raga sana
 
Jitoe ufahamu kama jenny muro,anakaribia kuukwaa ukuu wa wilaya
 
Muro anajitahidi kujikomba kwa gia hizi. All in all bashite ndie receptionist wa awam hi nenda mpigie goti tu mambo yako yatanyooka
 
Kabla ya kujiunga, zijue Sifa kuu za kuwa mwanachama wa CCM,
1. kwanza jitoe ufahamu na akili mkabidhi polepole.
2. pili toa mshipa wa aibu kama bashite.
3. jifunze kutoa rushwa ni sifa ya kuteuliwa kama Mnyeti.
4. jisajili LB7 muone jingalao akupe mwongozo.
5. anza kujifunza mapambio ya sifa kwa mtukufu kama Mrema.
6. ficha vyeti halisi baki na cha f4 feki kama bashite.
7. kama wewe ni ke kachukue ujuzi wa majungu kwa shonza.
8. kama wewe ni me kajiunge na jerry muro.
9. uwe tayari kuropoka, kusema uongo, kutetea uongo na waongo kwa hili muone polepole.
10. kwako waone wapinzani wote sio wazalendo ni wasaliti.
11. anzisha thread za kipuuzi za kusifia maendeleo makubwa yanayoletwa na serikali ya CCM mfano, 'bila CCM mlima Kilimanjaro ungekuwa Kenya', nk.
12. unafiki ni sifa ya ziada, muone polepole au lipumba watakujuza zaidi.

baadae nitakupa ahadi 10 za mwanaccm.
 
Sifa kuu za kuwa mwanachama wa CCM,
1. kwanza jitoe ufahamu.
2. pili toa mshipa wa aibu.
3. jifunze kutoa rushwa ni sifa ya kuteuliwa.
4. jisajili LB7 muone jingalao akupe mwongozo.
5. anza kujifunza mapambio ya sifa kwa mtukufu.
6. ficha vyeti halisi baki na cha f4 feki.
7. kama wewe ni ke kachukue ujuzi wa majungu kwa shonza.
8. kama wewe ni me kajifunze kwa bashite au muro.
9. uwe tayari kuropoka, kusema uongo, kutetea uongo na waongo kwa hili muone polepole.
10. kwako waone wapinzani wote sio wazalendo ni wasaliti.
11. anzisha thread za kipuuzi za kusifia maendeleo makubwa yanayoletwa na serikali ya CCM mfano, 'bila CCM mlima Kilimanjaro ungekuwa Kenya', nk.
12. unafiki ni sifa ya ziada, muone polepole atakujuza zaidi.

baadae nitakupa ahadi 10 za mwanaccm.

Hahhaha Kumbe Jingalao ndiye anayetoa Mwongozo pale LUMUMBA BUKU 7.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu ahadi 10 za mwanaccm hizi hapa. Chama cha wahuni, wezi, mafisadi, waongo, wezi, watoa/wapokea rushwa.

1. Wapinzani wote ni adui zangu na Afrika si moja.

2. Nitawatumikia mafisadi, wezi, waongo na majangili wote

3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.

4. Rushwa si adui wa haki. Nitapokea na kutoa rushwa ili kusambaratisha upinzani na kupitisha miswaada uchwara.

5. Cheo si dhamana. Nitakitumia cheo changu na cha mtu mwingine yeyote yule kwa faida yangu.

6. Umbumbumbu ni kitu muhimu sana na nitautumia kwa kadri ya uwezo wangu kwa faida ya mafisadi, wala/watoa rushwa wakwapuzi na majangili.

7. Nitashirikiana na wenzangu wote kuiangamiza nchi yetu.

8. Nitasema uongo daima, fitina kwangu mbele kwa mbele.

9. Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na wakati wowote nitakuwa tayari kusema uongo au kuanzisha uzushi ili kulinda heshima ya chama.

10. Nitakuwa mtiifu na mwaminifu kwa mwenyekiti wetu asiyependa kukosolewa kwa kuhofia kutusiwa kwamba ninawashwa washwa.

Boss MAHANJU Wewe ni kama Dada MK, ukitia mguu Boda au Airport yoyote, alarm zinalia. Ure Most Wanted.

Jamani msishangae, ndiye mimi MAHANJU ndugu yenu na mwanachama hai wa JF.eeh!!ndiye mimi,maamuzi ni yangu mimi. Nitafanya hivyo kama itawezekana ikiwa ni baada ya muda niliojipa kutafakari ukiisha.

Naona upande huo kuna ulaji,upatu upo kwa wingi bhana. Maisha yenyewe mafupi haya kwanini niishi kwa tabu na wanangu? Aaaah! Naunganga na mtani wangu msemaji wa zamani wa watani zangu kusaka tonge, naona ni muda muafaka kumpa nguvu huenda yeye
ataukwaa na mimi nikafata. Tena kakazana kweli kweli na kapinda kupiga domo vibaya mno.

Aaah! alijaribu Mtela akaula, akaenda Da July akaila, khaa hata mzee mwenzangu wa katiba mya nae akaula, ninasubiri nini mimi MAHANJU? Ako Samu juzi nae kaamua,Mdomo ninao, ngoja nikacheze sishndwi kamwe. Huku njaa come on!! Yaani kama huna kamradi cha kujishikaza kama cha rafiki angu yule utakufa.

Pande zile umate umate upo bhana, khahaa kununua ndinga zote zile za Arumeru pamoja na mwenye jimbo sio mchezo, ndio ujue kua upande ule pochi zimetunaa come on!!

Shida nini? Si ndio kuandika na kusema tuu? Tena hawa rafiki zangu nawajua in and out nikienda huko ni kukanyagia tuu mpaka mwisho. Yaani hakyamama nitasimama kusema mpaka povu linitoke hadi Chair aone.

Ngoja nijifikirie kwa kina halafu nifikie ukingoni, nina imani nikienda kuachia kadi yangu kwa class mate wangu ofisini kwake pale makao makuu ya jiji kuu ndio patakua pazuri pakuanzia.
 
Mkuu ahadi 10 za mwanaccm hizi hapa. Chama cha wahuni, wezi, mafisadi, waongo, wezi, watoa/wapokea rushwa.

1. Wapinzani wote ni adui zangu na Afrika si moja.

2. Nitaitumikia nafisadi, wezi, waongo na majangili wote

3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.

4. Rushwa si adui wa haki. Nitapokea na kutoa rushwa ili kusambaratisha upinzani na kupitisha miswaada uchwara.

5. Cheo si dhamana. Nitakitumia cheo changu na cha mtu mwingine yeyote yule kwa faida yangu.

6. Umbumbumbu ni kitu muhimu sana na nitautumia kwa kadri ya uwezo wangu kwa faida ya mafisadi, wala/watoa rushwa wakwapuzi na majangili.

7. Nitashirikiana na wenzangu wote kuiangamiza nchi yetu.

8. Nitasema uongo daima, fitina kwangu mbele kwa mbele.

9. Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na wakati wowote nitakuwa tayari kusema uongo au kuanzisha uzushi ili kulinda heshima ya chama.

10. Nitakuwa mtiifu na mwaminifu kwa mwenyekiti wetu asiyependa kukosolewa kwa kuhofia kutusiwa kwamba ninawashwa washwa.
Mkuu umetisha, hizi ahadi zinapatikana kwenye katiba ya CCM Sehemu ya Saba, ila no3 ilitakiwa isomeke nitajitolea nafasi yangu kuwatia watu umasikini ili waishi kama mashetani. No5 nitatumia cheo changu kuwadhulumu watu mali zao.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahhaha Kumbe Jingalao ndiye anayetoa Mwongozo pale LUMUMBA BUKU 7.
Ndio yeye kama unataka usajili wa Lb7 mPM jingalao,

sisi tumeamua kumtahadharisha ndugu yetu MAHANJU for free ili akifika huko asije kuonekana hana mkia kwa sababu CCM wote wana mikia, by Magufuli.
 
Ila kama elimu yako ni ya hapa na pale sahau kuteuliwa na huyu jamaa.

Madokta na maprofa wataenjoy sana utawala huu.
Kwan yule mwenye majina tofauti anaelimu???Yule anayetembelea Range,yule rafiki yake gwajima
 
kana wenzio walioachwa mwanzo mpaka sasa bado wanaimani kwamba,watachaguliwa kama Malima na kuna wengine wana imani kwamba,watalipwa mafao yao ya EAC hasa ukizingatia kwamba pesa sasa hivi zimeongezeka sana
 
Back
Top Bottom