Nitajiunga na CCM kama Rais Magufuli nae atajiuzulu urais na kujiunga na CCM

Hivi kama hizo biashara na asset zako zinaendeshwa na kumilikiwa kihalali unaanzaje kufilisiwa kwa mfano? Fuateni taratibu na sheria, lipeni kodi utakuwa rafiki wa serikali ya Mh. Magufuli.
 
Mimi nitahama CHADEMA na kujiunga na CCM mpya kama rais wangu Magufuli nae atajiuzulu urais na kujiunga na CCM, hili nalisubiri kwa hamu, Nasema wazi na msemakweli ni mpenzi wa Mungu, Nasubiri siku John Pombe Magufuli nae "ajiuzulu" urais ili ajiunge na "CCM mpya" ya Humphrey Polepole kwa kuwa inapambana na ufisadi inayotekeleza ilani yake nk.... Kama kuna mtu anamshauri rais aina ya siasa anayofanya basi hamtakii mema taifa, na huyo ndiye adui wa watanzania kwakuwa kwakushauri kwake, analiangamiza taifa na chama cha mapinduzi cha mapinduzi.....!

CCM mpya haitajengwa kwa unafiki wa upanga, haitajengwa kwa dola wala haitajengwa kwa vitisho. CCM Mpya itajengwa kwa kuongoza nchi kwa kufuata katiba na sheria, kwakujenga chama cha siasa cha hiari sio hiki cha lazima, kwakupeleka mafawa hospitali, kwakuhakikisha mgao wa umeme unakuwa historia, kwakuhakikisha mikopo kwa wanafunzi vyuoni, kwakuhakikisha hakuna mtanzania anayebomolewa nyumba yake bila kulipwa fidia, na mambo mengine yote yenye kukiuka haki za kiraia na za kibiadamu

Jambo muhimu eleweni, njia hiyo haitaleta madawa hospitali, haitaleta elimu bora, haitaleta nchi ya viwanda, wala haitaleta bei ya sukari kuwa chini dukani.

Dukani kwa Mpemba ama kwa Mangi ukienda huendi na kadi ya CCM, unaenda na sarafu yenye kichwa cha Mwalimu Julius Nyerere na mwenge wa uhuru tu, ama utakwenda dukani na sarafu yenye kichwa cha Abeid Amani Karume na mmea wa Karafuu tu...

Ati kuna mtu anafurahishwa na utendaji wa Rais Magufuli ndio anajiuzulu uongozi wa kisiasa aliopewa na wananchi??? Kwani Magufuli anawatumikia watu gani kama sio haohao wananchi?

Ninaomba mtu yoyote nchini awe Chakubanga au Kinana au yeyote yule, aje hadharani akiwa HURU kabisa aseme Rais Magufuli amefanya nini KIPYA kikubwa CCMMASLAHI kwa Taifa tofauti na watangulizi wake?????

Mmoja ya wanachadema aliyelazimishwa kwenda CCM kwa shinikizo la vyombo vya serikali vinavyotumia kodi za umma amenululiwa akisema:,
______________________
"Wapendwa kazi zangu zimevulugwa Sana. Na urudisha mwili CCM, kulinda zilizo baki. Nature ya kazi yangu inategemea Sana serikali, I will never speak negativity about CHADEMA, is a part which I love most. Wachache wanajua niliwashirikisha namna nilivyofilisiwa kupitia TRA, kuporwa Zahanati yangu, kuzuiwa biashara yangu ya mbao. Kuondolewa kwenye jengo la ofisi yangu makao makuu kwa hila. Kuzuiwa kwa hila mchakato wa kupima shamba langu kirare. Hivi karibuni Shughuli zangu Lushoto kuzuiwa kwa hila. Mengi na mengi haya ninayosema ni machache....

David Chanyeghe"
______________
Ukweli unabaki kuwa ukweli, hata kama utasimamiwa na mtu mmoja tu ama ule uliosimamiwa na Mtume Mohamed na Yesu Kristo, Safari ya Mabadiliko bado inaendelea, wapo ambao tulianza nao safari na hawatafika mwisho, wasiwakatishe tamaa, kwani wapo wapya ambao watajiunga nasi kwenye safari hii. Ila kwa uhakika ni safari ngumu inayokutaka ujikane kwaajili ya taifa lako.

Na Yericko Nyerere
Jembe JPM piga kazi, wenye macho wanaona na kukuunga mkono.
 
Hakuna anayekuhitaji CCM!
 
Afanye kelele mtaani ili ashindiliwe risasi?
Hapa ndipo unapojua Slaa ndiye aliyekuwa mpinzani wa kweli.
Mtu aliyeweka familiya yake mstari wa mbele kwenye mikutano na maandamano.

Wengine ni wachumia tumbo waliokuwa wakiwanywesha vijana viroba na kuwatuma barabarani ilihali familiya zao zikiwa mafichoni salama.

Siku hizi inabidi wapige kelele wenyewe maana hakuna watu wa kwenda kupoteza muda kuandamana.
 
Hapa ndipo unapojua Slaa ndiye aliyekuwa mpinzani wa kweli.
Si mlikuwa mnamwita kibabu!! Lakini kwani hizo siasa alikuwa anafanya peke yake? Kama Arusha alipopigiwa Mkewe na kina mbowe nao pia walikowepo. Mbona siku anauawa Mwangosi hakwenda Nyololo wakati ilipangwa akafanye mkutano huko?
 
Mimi nitahama CHADEMA na kujiunga na CCM mpya kama rais wangu Magufuli nae atajiuzulu urais na kujiunga na CCM, hili nalisubiri kwa hamu, Nasema wazi na msemakweli ni mpenzi wa Mungu, Nasubiri siku John Pombe Magufuli nae "ajiuzulu" urais ili ajiunge na "CCM mpya" ya Humphrey Polepole kwa kuwa inapambana na ufisadi inayotekeleza ilani yake nk.... Kama kuna mtu anamshauri rais aina ya siasa anayofanya basi hamtakii mema taifa, na huyo ndiye adui wa watanzania kwakuwa kwakushauri kwake, analiangamiza taifa na chama cha mapinduzi cha mapinduzi.....!

CCM mpya haitajengwa kwa unafiki wa upanga, haitajengwa kwa dola wala haitajengwa kwa vitisho. CCM Mpya itajengwa kwa kuongoza nchi kwa kufuata katiba na sheria, kwakujenga chama cha siasa cha hiari sio hiki cha lazima, kwakupeleka mafawa hospitali, kwakuhakikisha mgao wa umeme unakuwa historia, kwakuhakikisha mikopo kwa wanafunzi vyuoni, kwakuhakikisha hakuna mtanzania anayebomolewa nyumba yake bila kulipwa fidia, na mambo mengine yote yenye kukiuka haki za kiraia na za kibiadamu

Jambo muhimu eleweni, njia hiyo haitaleta madawa hospitali, haitaleta elimu bora, haitaleta nchi ya viwanda, wala haitaleta bei ya sukari kuwa chini dukani.

Dukani kwa Mpemba ama kwa Mangi ukienda huendi na kadi ya CCM, unaenda na sarafu yenye kichwa cha Mwalimu Julius Nyerere na mwenge wa uhuru tu, ama utakwenda dukani na sarafu yenye kichwa cha Abeid Amani Karume na mmea wa Karafuu tu...

Ati kuna mtu anafurahishwa na utendaji wa Rais Magufuli ndio anajiuzulu uongozi wa kisiasa aliopewa na wananchi??? Kwani Magufuli anawatumikia watu gani kama sio haohao wananchi?

Ninaomba mtu yoyote nchini awe Chakubanga au Kinana au yeyote yule, aje hadharani akiwa HURU kabisa aseme Rais Magufuli amefanya nini KIPYA kikubwa CCMMASLAHI kwa Taifa tofauti na watangulizi wake?????

Mmoja ya wanachadema aliyelazimishwa kwenda CCM kwa shinikizo la vyombo vya serikali vinavyotumia kodi za umma amenululiwa akisema:,
______________________
"Wapendwa kazi zangu zimevulugwa Sana. Na urudisha mwili CCM, kulinda zilizo baki. Nature ya kazi yangu inategemea Sana serikali, I will never speak negativity about CHADEMA, is a part which I love most. Wachache wanajua niliwashirikisha namna nilivyofilisiwa kupitia TRA, kuporwa Zahanati yangu, kuzuiwa biashara yangu ya mbao. Kuondolewa kwenye jengo la ofisi yangu makao makuu kwa hila. Kuzuiwa kwa hila mchakato wa kupima shamba langu kirare. Hivi karibuni Shughuli zangu Lushoto kuzuiwa kwa hila. Mengi na mengi haya ninayosema ni machache....

David Chanyeghe"
______________
Ukweli unabaki kuwa ukweli, hata kama utasimamiwa na mtu mmoja tu ama ule uliosimamiwa na Mtume Mohamed na Yesu Kristo, Safari ya Mabadiliko bado inaendelea, wapo ambao tulianza nao safari na hawatafika mwisho, wasiwakatishe tamaa, kwani wapo wapya ambao watajiunga nasi kwenye safari hii. Ila kwa uhakika ni safari ngumu inayokutaka ujikane kwaajili ya taifa lako.

Na Yericko Nyerere
Lazima mpigwe vita njie maliberali uchwara. Demokrasia yenu ya kukomaza rushwa kila mahali na kuendelea kudhibiti uchumu peke yenu watu wamegundua ujanja wenu. Watu wanataka uadilifu kwenye uchumi kila mtu afaidike kwa jasho lake. Sio kuendeleza unyonyaji wizi wa mali na rasilimali za taifa kufaidisha watu wachache.
 
Ni vigumu kwa Magufuli kujiunga na CCM iliyojaa majizi akiifikria CCM anahisi kutapika mpaka anashindwa kusema CCM hoyee.
Tafsir ya ufisadi ama wizi wa mali ya umma, ni kutumia mamlaka ya umma alio nayo mtu kutumia rasilimali za nchi na taifa kwa maslahi binafsi ama upendeleo kwa watu wake wa karibu kwa kificho ama kwa udhahir pasipo kufuata taratibu stahiki zilizowekwa kwa mujibu wa sheria!!.....Kuchota pesa ya umma pasipo kupitishwa bungen kwa ajil ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa na hospital ya rufaa kijijin ilhal miundombinu ya awal ilikidhi hitaji la jamii husika, huu pua ni UFISADI NA NI SCANDAL NYINGINE PIA!! TWAJIVIKA MASK USONI KWA KUJIFANYA HATUONI....mwizi n mwizi tu hata akiiigiza wema kias gan!!
 
Naaam naam akijiuzuru urais na kujiunga na ccm nami nitaondoka chadema na kujiunga ccm

Nakushauri usiende ccm, hutapokelewa, NA magufuli amalize muhula wake. Ingependeza kama ugefanya busara na kukishauri chama chako kijitathmini NA kutowapokea hawa wanasiasa vigeugeu, wanaobadilisha vyama kama mashati.

Pili ni wakati muhimu wanasiasa wenye weledi chadema wakapewa fursa kuliko hao comedians kama kina Lema, Nasari NA Msigwa. We need a strong and reputable opposition for the development of Tanzania. Be a true political critic by starting to constructively critising your own party with all its failures , so good and lasting changes can take place.

All the best
 
Viroja tu....
Mkuu mastermind wa hii game ni DAB, stiv, na yule kubwa jinga! Anachofanya DAB ni kujijengea ngome ya kuendelea kubaki na kufaidi keki ya taifa kupitia mgongo wa JPM.

DAB anajua kabisa kwamba anguko la JPM ndilo anguko lake maana hakuna mtu mwengine CCM atakubali kumbeba, kwahiyo anatumia mbinu za vitisho kuvuta watu CCM ili aonekane kua na impact kubwa chamani, na kwa bahati mbaya sana JPM naye anampenda DAB so hawezi kuchanganua na kuona madhara na madhira anayomletea mtoto wake mpendwa kuliko Jose.

Wewe una'access na viongozi wetu wa CDM, waambie kua wasiwe na hofu kabisa, Watanzania sisi sio vilaza kiasi cha kushindwa kuchambua pumba na mchele, waambie tupo pamoja, tutapambana! Waambie kiza kinapozidi kutanda ndiyo pambazuko linakaribia.

Nawaambie wafurahi sana maana kinachofanyika sasa ndiyo kinaenda kuisambaratisha CCM, ila tu, waambie sanduku la kura halifai tena, tutafute mbinu ya kudeal nao hao washindi wa NEC huku mtaani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom