mwanaNjilo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 277
- 195
Stay Home, Stay Safe!
(Naomba iwe salaam ya leo!)
Wanajamvi, naomba kukiri kua cjafanya research yakutosha kwenye hili ninalotaka kuuliza. Mtasaidia kuongeza mnachokijua ili nikamilishe uzi huu...
For the records, magonjwa ya mlipuko ambayo yalikua na status ya 'World Pandemic Diseases' ni Plague, Kipindupindu, Spanish Flu, Homa kali ya mapafu (corona-caused by COVID-19)etc.
Hayo ni baadhi ya pandemics ninazokumbuka nikiwa mbele ya hii keyboard...
Najaribu kutafakari, ni kwanini pandemic diseases nyingi origin yake ni 'outside' of African territories?? Yaani, ni kwanini yanaanzia nje ya Africa na kuenea maeneo mengne including Africa?
Na je, ni kwanini magonjwa mengine ya mlipuko yanayoanzia Africa na kuathiri kwa kiwango kikubwa population ya kiafrika (esp, sub sahara Africa) kama vile Ebola, hayavuki African boundaries na kua Trans-continental km baadhi ya magonjwa mengine yanayoanzia huko kwa wenzetu??
Napata wasiwasi kuona magonjwa ya mlipuko yanayosababishwa na vimelea vya namna moja (virus, though different nature of virus) yanasambaa nakuathiri kwa kiasi kikubwa maeneo ya Africa na kua na case tofauti pale gonjwa linapoanzia Africa.
Naomba mjaribu kunishawishi ili niamini kwamba, Waafrika tuna medical techology kubwa ya kupambana na explosive diseases ili zisisambae worldwide na kua pandemic? Au Wazungu hawana Control over Explosive diseases kama tulionao cc waafrika, mana Ebola hajavuka mipaka kwenda kwao, lakin COVID-19 na mengineyo kutoka kwao yamefanikiwa kufika kwetu Africa na worldwide. Why?!
Kwa alienielewa kwenye hilo naomba aniweke sawa...mana napata hisia mbaya kwamba kuna makusudi yakutufanya cc waafrika kua PlayGround ya Laboratories za Wazungu!
Karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app