Nitajie mawaziri 5 tu ktk serikali ya sasa ya jk walioshindwa kumudu kazi zao vizuri? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nitajie mawaziri 5 tu ktk serikali ya sasa ya jk walioshindwa kumudu kazi zao vizuri?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gosbertgoodluck, Feb 9, 2011.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ladies and Gentleman,
  Tafadhali tujaribu kuorodhesha bila jazba. Itasaidia sana endapo wachangiaji watatoa live examples, if possible.
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  :coffee:
   
 3. k

  kigumu twawala Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yule anayeshika kipima joto au?
   
 4. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  We the public are following with keen interests the trend of your discussions: I draw the following from what I learn:-
  1: That CCM wabunges are all out to defend status quo of their party and government with all uchafus the nation sees, like Dowans, Kagodas, Meremetas, IPTLs etc.
  2: That CCM wabunges are all out to fix Chademas at all costs, regardless of subsquent disastrous consequences to the nation;
  3: That Chadema wabunges are all out to fight back, even if it shall lead to mass engagements;
  4: That this political polarization of bunge is likely to lead to CCM wabunges voting to support even uozo like Dowans, EPAs etc;
  5: BUT it is wise for both public and wabunge not to forget weighing consequences of this polarization of wabunge and the coming situation to be created by the East African Community-whereby Kenya, Uganda, Rwanda and Burundi, all very much ahead in development, while Tz likely to remaining to be shamba la bibi!!!!!!!!!! IT IS VERY UNFORTUNATETO THINK ABOUT!!!!!!!!!!!!!!!!! I have not heard any mbunge thinking of this confused Tz in the EAC coming environment-especially the impact and implications of our 88% form IV failure-rate to continue for the next five years!!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  1. Ngereja.... umeme ushamshinda!!
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu esteem mp is a very sensitive prerogative political adherence ..... please exclude sisiem from a list of true and native representatives in the whole doctrine pf esteemed political leaders
   
 7. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  CCM haitaacha kunuka mpaka imuondoe aliye@&ji£%nye*§a.
  Sasa wao wanaendelea kupuliza feni huku madirisha wameyafunga.
  "ni ujinga kutenda kwa njia zile zile utegemee matokeo tofauti"
   
 8. N

  Nonda JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,957
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  We may wish to exclude sisiem and their representaives but they are the ones running the show.We need to be pragmatic!
  How do we get them see the things we see?, the way we see them?
   
 9. k

  kigumu twawala Member

  #9
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yeye ametutatuilia tatizo la umeme kwa kuliongeza au kwa kurudi rivasi, tarehe zote alizotuahidi huko nyuma kuatutakua hakumamatatizo ya umeme zimefika zimepita, hakumbuki anaendelea kutoa ahadi nyingine za tarehe.
   
 10. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Sofia simba, j4 magembe, shukuru kawambwa, ngeleja.
   
 11. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kawamba nae elimu haiwezi.
   
 12. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kuna yule mmoja aliingia na gia ya kulaumu tume ya maadili tukajua sasa tatizo limepata mtatuzi.... kaingia mitini wala hata hajulukani alipo haha ha aha!!! Ok anaitwa Chikawe....:twitch:
   
 13. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2011
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Yuko school Mate wangu pale Tosa Anaitwaga MAWE MATATU Charles Kitwanga.
  Yuko jamaa mwingine ni Mate naye anaitwa Ramo Bob Makani, yeye si waziri ni mbunge. Ramo aliwahi kunikata mguu demu wangu hivi hivi naona.Ramo sijakusahau na sijakusamehe yule demu uliyenikata mguu aliniuma sana.( Kukata mguu ni kuchukua demu wa mtu kwa hila)

  Hili jina MAWE MATATU amejipachika baadaye, shuleni hakujulikana kama Mawe Matatu.
  Alikuweko Mtu akiitwa MDASI WA MWITU yeye siku zote alidai kwamba kazaliwa Kata ya Marekani huyu ndiye Mawe Matatu original.

  Maana ya mawe matatu ni:
  Ngumi.
  Ndoo yaani -kichwa.
  Teke

  Baada ya kunywa Ulanzi kule Banawanu na kuvuta bangi fresh toka Msombwe watu walikuwa wakijiona ni akina MAWE MATATU.

  Ukileta zako kwanza anakupa NGUMI, ukikwepa anakukuda kwa mkono wa kushoto na kukushushia Ndoo KICHWA kama bado uko ngangari anakushushia teke aina ya kwanja Chini.

  Mawe Matatu ni jina la ugomvi na jamaa japo alikuwa kilanja mkuu siku zote alikuwa na mihasira ya kingosha ya kutaka kupigana.
  Enzi zile kilanja mkuu ukifanya mbaya DUDU,Headmaster wetu enzi hizo, anakuita ofisini kwake na kukuramba Mboko kaa 6 kimyakimya na kukuagiza uwape kibano wanafunzi wenzio.
   
 14. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #14
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,228
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  Mkuu Madela wa Madilu sijakusoma....umechanganya maada au ni kichwa changu!
   
 15. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #15
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Hahahahaah!!!!! laitii wote wangetuletea CV za namna hii za waliosoma nao chamoto wangekiona.........
   
 16. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #16
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Duu mkuu kamix issues hapo ha ha haaa
   
 17. c

  chelenje JF-Expert Member

  #17
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  what are u talking about?au unaota?
   
 18. c

  chelenje JF-Expert Member

  #18
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  madela wa madilu...kuna jamaa hapa amecheka mchango wako hadi anamwagiwa maji...are u okay!
   
 19. k

  kigumu twawala Member

  #19
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nilivyo muelewa mimi huyu mawe matatu ambaye sio original ni kati ya walioshindwa kazi, pia inaonyesha ni msanii kwani jina mawe matatu si lake kwa asili, kaiba jina la mtu. Au Mdasi wa Mwitu ndiye mawe matatu original. Flight of ideas.
   
 20. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #20
  Feb 10, 2011
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Sijachanganya hoja.

  Huyu jamaa MAwe Matatu(Naibu waziri) kazi imemshinda hata kabla ya kuianza.
  Hamna kitu hapo.

   
Loading...